Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto, wafu waandikishwa kupiga kura Z’bar

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetoa matokeo ya utafiti wake kuhusu Daftari la Wapiga Kura Zanzibar ikieleza kuwa watoto wasiotimiza umri wa miaka 18 na watu waliofariki dunia, majina yao yanaendelea kutumika katika dafrati hilo huku Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ikikaa kimya.
Kutokana na hali hiyo CUF kimesema kinashangazwa na hatua ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kuandaa mipango kinayodai ni ya kuendelea kuhujumu upigaji kura kwa kutumia vyombo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema wapiga kura waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi utakaofanyika nchini kote siku ya Jumapili.

 

11 years ago

Michuzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kushoto) akitoa risala siku moja kabla ya ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari leo katika ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Hamid Mahmuod na wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo Prof. Amon Chaligha. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kulia)...

 

9 years ago

Vijimambo

WASIOONA WATISHIA KUTOMPIGIA KURA MWANASIASA AMBAYE HAJAWAWEKEA MAZINGIRA RAFIKI YA WAO KUPIGA KURA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU

 Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), Luis Benedicto (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu wasiona kutengwa katika mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa chama hicho, Jonas Lubago na Katibu Mkuu wa TLB, Emmanuel Simon Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.
Na Dotto...

 

11 years ago

Mwananchi

Kinana kupiga kambi Z’bar kuimarisha CCM

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana amesema ameamua kuweka kambi Zanzibar, lengo likiwa ni kuimarisha chama hicho na kuhakikisha CCM inarejesha majimbo yake yaliyopotea tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1995.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waingereza kupiga kura

Alhamis Mei 7 wananchi hapa Uigereza wanapiga kura kwenye uchaguzi mkuu

 

9 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

Mapalala agoma kupiga kura

Mjumbe wa Bunge la Katiba, James Mapalala ametoa siri ya kutokujihusisha na suala la upigaji kura katika kamati yake namba moja kwa kusema inapigia upatu serikali mbili.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rwanda kupiga kura ya maoni

Rwanda itapiga kura ya maoni juu ya mabadiliko ya katiba kumruhusu Rais Paul Kagame kuwania muhula wa tatu wa kuiongoza nchi hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Nani anayeruhusiwa kupiga kura

Mkazi wa kawaida wa eneo analotaka kupiga kura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani