Watanzania washauri kufuata mfano wa kliniki za Kisukari
Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kushilikiana na Shirika la kisukari kimataifa la International Diabetes Federation (IDF) walianzisha Siku ya Kisukari Duniani mnamo mwaka 1991 ili kuadhimisha kuzaliwa kwa mwanasayansi Frederick Banting ambaye kwa kushirikiana na Charles Best aligundua tiba muhimu kwa wagonjwa wa kisukari ya insulin mnamo mwaka 1922.
Novemba 14 Kila mwaka mashirika ya kiserikali, mashirika binafsi, wagonjwa wakisukari na wadau mbalimbali hukutana ili kuadhimisha siku hii...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Kliniki za kisukari kutoa huduma jumuishi kwa wagonjwa wa kisukari nchini India
from left to Right – Sangita Reddy, Chairperson, Apollo Sugar and Joint Managing Director, Apollo Hospitals, Christopher A. Viehbacher, Chief Executive Officer, Sanofi, Dr. Prathap Reddy, Chairman – Apollo Hospitals Group and Dr. Deepak Chopra, Renowned Global Spiritual Guru.
Hospitali maarufu za kimataifa za Apollo ambazo zimeazimia kufungua hospitali na kliniki mbali mbali nchini, hivi karibuni zimetangaza uamuazi wake wa kushirikiana na Sanofi katika upanuzi wa Kliniki za Kisukari za...
11 years ago
Dewji Blog28 May
Watanzania washauri kupata elimu ya kuendesha biashara
Mwenyekiti wa klabu ya wafanyabiashara wa NMB tawi la Singida,Kyoma (katikati) akifuatilia mada zilizokuwa zinatolewa kwenye semina yao ya siku moja.Wa kwanza kulia ni katibu wa klabu hiyo,Welu Ntandu na kushoto ni makamu mwenyekiti,Elizabeth Masawe.
Meneja Mahusiano na Biashara wa makao makuu NMB jijini Dar-es-salaam, Dickson Mpangarawe (wa kwanza kushoto),akifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa kwenye semina ya siku moja iliyohudhuriwa na wananchama wa klabu ya wafanyabiashara wa tawi la...
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Kisukari chazidi kuwatesa Watanzania
10 years ago
VijimamboWATANZANIA MASSACHUSETTS NI MFANO WA KUIGWA WAJITOKEZA KWA WINGI KISOMO CHA MKAKILE
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Ukosefu wa huduma za afya za kisasa na uhakika zadaiwa kuwa sababu kubwa ya watanzania kufuata huduma hiyo nje ya nchi
. Ukosefu wa huduma za afya za uhakika na za kisasa zinadaiwa kuwa sababu kubwa ya watanzania wengi kufuata huduma hizo nchi za nje.
Hospitali ya Apollo ilikuwa moja ya hospitali za mwanzo kabisa katika bara la Asia, na duniani kwa ujumla kuleta huduma zote za kiafya chini ya paa moja. Na kwa wakati huu, mpango huo kabambe umeifanya hospitali hiyo kufanikiwa katika Nyanja zote za matibabu.
Dr. Prathap C Reddy, muasisi wa huduma za kiafya za kisasa nchini india, alianzisha hospitali ya...
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Kificho ateua washauri 20 kumsaidia
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Washauri Zimamoto iunganishwe Tanesco
SERIKALI imetakiwa kubadilisha utaratibu wa huduma za gari la zimamoto na kuzihamishia katika kitengo cha dharura cha Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), ili iwe rahisi wakati matukio ya moto yanapotokea....
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Washauri mambo matano kuepusha vurugu
11 years ago
BBCSwahili13 Aug
Marekani yatuma washauri wa kijeshi Iraq