Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washauri Zimamoto iunganishwe Tanesco

SERIKALI imetakiwa kubadilisha utaratibu wa huduma za gari la zimamoto na kuzihamishia katika kitengo cha dharura cha Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), ili iwe rahisi wakati matukio ya moto yanapotokea....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kificho ateua washauri 20 kumsaidia

Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, ameteua timu ya wajumbe 20 wa bunge hilo kwa ajili ya kumsaidia katika mchakato wa kuandaa rasimu ya kanuni za uendeshaji wa chombo hicho.

 

10 years ago

GPL

WAFANYABISHARA WASHAURI MACHINJIO YA VINGUNGUTI KUBORESHWA

Shughuli zinavyoendelea katika machinjio hayo. Baadhi ya wahusika katika machinjio ya Vingunguti jijini Dar es Salaam wamesema eneo hilo ni dogo kiasi cha kutokuwa na uwezo wa watu kuchinja mifugo mingi hivyo wameomba maboresho yafanyike haraka. ’’Machinjio haya ni maalumu kwa mbuzi na ng’ombe 30 kwa siku lakini kwa sasa tunalazimika kuchinja mbuzi na ng’ombe 250 kwa siku,… ...

 

11 years ago

Habarileo

Washauri maeneo ya misitu kuwa hifadhi

WANANCHI wa Jimbo la Dimani Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, wameitaka serikali kutenga maeneo ya hifadhi ya misitu ili kukabiliana na wimbi kubwa la uharibifu wa misitu ya hifadhi ikiwemo mikoko.

 

11 years ago

Mwananchi

Washauri kesi dhidi ya Pinda kutupwa

Upande wa walalamikiwa katika kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, umeomba Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali kesi hiyo, ukidai kuwa walalamikaji wameshindwa kujibu hoja za pingamizi lao, dhidi ya kesi hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yatuma washauri wa kijeshi Iraq

Marekani imetuma washauri wa kijeshi kwenda eneo la wa-Kurdi, kaskazini mwa Iraq, waziri wa ulinzi Chuck Hagel amesema.

 

9 years ago

Mwananchi

Washauri matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani

Waangalizi wa uchaguzi wa Kimataifa wameitaka Tanzania kuifanyia mabadiliko ibara ya 41(7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuruhusu matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani katika chaguzi zijazo.

 

9 years ago

Mwananchi

Washauri mambo matano kuepusha vurugu

Zikiwa zimebakia siku sita kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu, Watanzania wameibua mambo matano yanayoweza kuliepusha Taifa na vurugu zinazoweza kutokea baada ya uchaguzi.

 

9 years ago

Michuzi

HAKIELIMU YAZINDUA JOPO LA WASHAURI MABINGWA

Timu ya Menejimenti ya HakiElimu ikiwa katika picha na Mwenyekiti wa Bodi ya HakiElimu na Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa jopo la washauri bingwa.Wafanyakazi wa Shirika la HakiElimu waliohudhuria uzinduzi katika picha ya pamoja na jopo la washauri bingwaWaliosimama ni Prof. J. Galabawa (kushoto) Prof. Kitila Mkumbo (katikati) na Prof. Elias Jengo (kulia) Waliokaa ni John Kalage (Mkurugenzi wa HakiElimu) Prof. G.Mmari (katikati) na Prof. Prof. Martha Qorro (Kulia).Mgeni rasmi...

 

10 years ago

Habarileo

Washauri waponda kokoto kupewa ajira nyingine

MJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Dk Pudensiana Kikwembe ameshauri wanawake wanaofanya kazi ya kuponda kokoto katika bandari mpya ya Kiwira iliyopo Ziwa Nyasa wilayani Kyela watafutiwe kazi nyingine ya ujasiriamali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani