Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAKIELIMU YAZINDUA JOPO LA WASHAURI MABINGWA

Timu ya Menejimenti ya HakiElimu ikiwa katika picha na Mwenyekiti wa Bodi ya HakiElimu na Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa jopo la washauri bingwa.Wafanyakazi wa Shirika la HakiElimu waliohudhuria uzinduzi katika picha ya pamoja na jopo la washauri bingwaWaliosimama ni Prof. J. Galabawa (kushoto) Prof. Kitila Mkumbo (katikati) na Prof. Elias Jengo (kulia) Waliokaa ni John Kalage (Mkurugenzi wa HakiElimu) Prof. G.Mmari (katikati) na Prof. Prof. Martha Qorro (Kulia).Mgeni rasmi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Haki Elimu yazindua jopo la ushauri Uboreshaji Sekta Ya Elimu

Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Nchini imeshauriwa kuyafanyia kazi mapendekezo yanayotolewa na wadau wa elimu katika  sekta hiyo pamoja na  kuboresha Idara ya Ukaguzi Shuleni ili kuhakikisha elimu inatolewa kwa usahihi.

Imeelezwa kuwa kwa kuzingatia hayo kutasaidia kuboresha Sekta ya elimu nchini hususani katika Shule za Umma, ambazo baadhi ya wazazi wamekuwa wakikwepa kuwapeleka watoto wao kutokana na dhana ya kuwa na elimu duni.

 Katika uzinduzi wa jopo la washauri...

 

10 years ago

TheCitizen

HakiElimu: We expect reforms in 2015/16

HakiElimu expects that the coming budget will have a number of reforms to improve the quality of education.

 

10 years ago

Mwananchi

HakiElimu yabashiri ugumu wa bajeti

Taasisi ya HakiElimu imetoa tamko kuhusu bajeti ya elimu kwa mwaka wa fedha 2015/16 na kuainisha mambo yanayotakiwa kupewa kipaumbele katika sekta hiyo, huku ikionya kuwa hatua stahiki zisipochukuliwa, kuna hatari ya mwaka ujao wa fedha kuwa mgumu zaidi kiutendaji.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mpango wa BRN Sekta ya Elimu Unamapungufu — HakiElimu

IMG_00361

Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo.

Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo.

Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo.

Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo.

Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza...

 

11 years ago

TheCitizen

HakiElimu findings fault distribution of 36,000 teachers

Despite the government declaring to have achieved the national pupil/teacher ratio target of 40:1 thanks to the recent recruitment of 36,021 teachers, other regions are still far from the target.

 

9 years ago

TheCitizen

HakiElimu launches ‘Think Tank’ to advise on education problems

A team of 10 Professors have been assembled to research and advise on the problems bedeviling the education sector in the country.

 

10 years ago

Vijimambo

Mpango wa BRN Sekta ya Elimu Unamapungufu - HakiElimu

Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo. Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huoKaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo. Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huoKaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo. Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kificho ateua washauri 20 kumsaidia

Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, ameteua timu ya wajumbe 20 wa bunge hilo kwa ajili ya kumsaidia katika mchakato wa kuandaa rasimu ya kanuni za uendeshaji wa chombo hicho.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Washauri Zimamoto iunganishwe Tanesco

SERIKALI imetakiwa kubadilisha utaratibu wa huduma za gari la zimamoto na kuzihamishia katika kitengo cha dharura cha Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), ili iwe rahisi wakati matukio ya moto yanapotokea....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani