Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYABISHARA WASHAURI MACHINJIO YA VINGUNGUTI KUBORESHWA

Shughuli zinavyoendelea katika machinjio hayo. Baadhi ya wahusika katika machinjio ya Vingunguti jijini Dar es Salaam wamesema eneo hilo ni dogo kiasi cha kutokuwa na uwezo wa watu kuchinja mifugo mingi hivyo wameomba maboresho yafanyike haraka. ’’Machinjio haya ni maalumu kwa mbuzi na ng’ombe 30 kwa siku lakini kwa sasa tunalazimika kuchinja mbuzi na ng’ombe 250 kwa siku,… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri watatu waibuka machinjio ya Vingunguti

Kasi ya Mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano jana ilichukua sura ya aina yake wakati mawaziri watatu walipoibuka kwenye machinjio ya Vingunguti, na kutoa maamuzi magumu kutokana na kukithiri kwa uchafu, ubadhilifu wa makusanyo ya fedha za ushuru.

 

11 years ago

Mwananchi

BIASHARA: Saa mbili ndani ya Machinjio ya Vingunguti

>Ukiwa unakaribia  katika eneo la machinjio lililopo Vingunguti jijini hapa kabla ya kuingia ndani salamu ya kwanza utakayopokelewa nayo ni “Karibu mteja   fungu  moja ni Sh 1,000 tu…dada karibu uboreshe ndoa…kaka karibu uboreshe ndoa,”hizo ni sauti za vijana waliopanga bidhaa zao kwenye meza pembezoni mwa Barabara ya Vingunguti, nje ya banda la kuchinjia mifugo.

 

9 years ago

MillardAyo

Maamuzi ya Mawaziri watatu kwenye meza moja walivyofika machinjio ya Vingunguti Dar..

January 02 2016 ni siku nyingine Jumamosi inayobeba kichwa cha habari cha ziara za ghafla za Mawaziri wa Rais Magufuli, hii ya leo wameongozana mguu kwa mguu Mawaziri watatu kwenda eneo la Vingunguti ambapo ni machinjio ya wanyama Dar es Salaam. Mawaziri hao George Simbachawene, Dk. Hamisi Kigwangalla na Mwigulu Nchemba wamefanya ziara hiyo na […]

The post Maamuzi ya Mawaziri watatu kwenye meza moja walivyofika machinjio ya Vingunguti Dar.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Maneno 18 ya Waziri Mwigulu Nchemba baada ya kugundua upotevu wa kodi machinjio ya Vingunguti..

Picha zimeenea mitandaoni zikimuonesha Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba akiwa kwenye ziara katika machinjio maarufu ya ng’ombe pamoja na mbuzi iliyopo eneo la Vingunguti Dar es Salaam. Baada ya ziara hiyo Waziri Nchemba ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Twitter >>> ‘Machinjio- Vingunguti usiku huu,hatua za awali nakutana na upotevu wa kodi […]

The post Maneno 18 ya Waziri Mwigulu Nchemba baada ya kugundua upotevu wa kodi machinjio ya Vingunguti.. appeared first...

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ATUA MACHINJIO YA VINGUNGUTI USIKU, AKUTANA NA MADUDU YA KUTAFUNA KODI

Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi,Mh.Mwigulu Lameck Nchemba akisikiliza kero za wadau wa machinjio ya Vingunguti usiku  wa January 01/01/2016.Mwigulu Nchemba akishuhudia Ng'ombe aliyetayari kwa taratibu za kuchinjwa kwa ajili ya kitoweo.Mbuzi wakiwa tayari kwa ajili ya kuchinjwa kwenye machinjio hayo ya Vingunguti.Mbuzi hawa asilimia kubwa wanatoka mnada wa Pugu ambao Ushuru wake unakusanywa na serikali kuu.Waziri Mwigulu Nchemba akikagua maeneo ya machinjio hayo usiku huu.Mwigulu Nchemba...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MAZINGIRA MRADI WA MACHINJIO YA VINGUNGUTI NA ENEO LA KINYEREZI LINALOPITA BOMBA LA GESI.


Waziriwa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiwaonyesha wanahabari (Hawapo pichani) bomba la Gesi ya Songas liloangukiwa na mawe kutokana na athari za uchimbaji mchanga katika eneo hilo. Picha Charles Kombe.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu (Kulia) akiambatana na Meya wa Manispaa ya Ilala Omari Kumbilamoto (wa pili kushoto) askari wa Ulinzi na viongozi wa ngazi mbalimbali za kiserikali alipofanya ziara...

 

10 years ago

Michuzi

Baadhi ya machinjio jijini Dar es Salaam hayakidhi vigezo vya mazingira ya machinjio - Waziri Mahenge

Na Victor Mariki – Ofisi ya Makamu wa Rais
Baadhi ya machinjio jijini Dar es Salaam hayakidhi vigezo vya mazingira ya machinjio, hali ambayo huatarisha afya za wakazi wanaozunguka maeneo hayo ikiwemo pamoja na wafanyakazi machinjioni humo.
Hayo yalibainika wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu ya Rais - Mazingira, Mh. Binilith Mahenge alipofanya ziara ya ukaguzi mazingira katika baadhi ya machinjio hayo jijini humo leo.
Katika ziara hiyo, Mh. Mahenge alitembelea machinjio ya Ukonga na...

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabishara Arusha wanyoshewa kidole

Wafanyabiashara wanaotoa  huduma katika  masoko   wametakiwa kudumisha utaratibu  wa kufanya usafi katika maeneo yao ya biashara  pasipo kushurutishwa ili kulinda afya za watumiaji wa bidhaa wanazouza, ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa kipindupindu.

Pia imeelezwa kuwa maeneo mengi ya masoko usafi wake hauridhishi kutokana na tabia ya baadhi ya  wafanyabiashara kutokushiriki kikamilifu katika kufanya usafi.

 wafanyabiashara wa soko kuu lililopo katikati ya jiji la Arusha  pamoja na...

 

10 years ago

Mtanzania

Wafanyabishara Mwanza watafakari kugoma

Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

NA BENJAMIN MASESE

JUMUIYA ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) mkoani Mwanza imewatangazia wafanyabiashara kutofunga maduka badala yake kungoja maelekezo ya vikao.

Akizungumza na gazeti jana, Mwenyekiti wa JWT mkoa wa Mwanza, Christopher Wambura, alisema wafanyabiashara hawatafunga maduka yao kwa kuwa  vikao vinaendelea sasa.

Tamko la JWT limetolewa ikiwa ni siku moja baada ya TRA na polisi kutoa tangazo la kusisitiza matumizi ya mashine EFD’s.

TRA pia imewaonya wale...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani