Wafanyabishara Mwanza watafakari kugoma
Jiji la Mwanza
NA BENJAMIN MASESE
JUMUIYA ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) mkoani Mwanza imewatangazia wafanyabiashara kutofunga maduka badala yake kungoja maelekezo ya vikao.
Akizungumza na gazeti jana, Mwenyekiti wa JWT mkoa wa Mwanza, Christopher Wambura, alisema wafanyabiashara hawatafunga maduka yao kwa kuwa vikao vinaendelea sasa.
Tamko la JWT limetolewa ikiwa ni siku moja baada ya TRA na polisi kutoa tangazo la kusisitiza matumizi ya mashine EFD’s.
TRA pia imewaonya wale...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV09 Nov
Wafanyabishara Arusha wanyoshewa kidole
Wafanyabiashara wanaotoa huduma katika masoko wametakiwa kudumisha utaratibu wa kufanya usafi katika maeneo yao ya biashara pasipo kushurutishwa ili kulinda afya za watumiaji wa bidhaa wanazouza, ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa kipindupindu.
Pia imeelezwa kuwa maeneo mengi ya masoko usafi wake hauridhishi kutokana na tabia ya baadhi ya wafanyabiashara kutokushiriki kikamilifu katika kufanya usafi.
wafanyabiashara wa soko kuu lililopo katikati ya jiji la Arusha pamoja na...
10 years ago
GPLWAFANYABISHARA WASHAURI MACHINJIO YA VINGUNGUTI KUBORESHWA
9 years ago
StarTV16 Nov
Wafanyabishara zaidi ya 300 Tanga kuongezewa mitaji
Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbalimbali mkoani tanga wanatarajiwa kuongezewa mitaji ili kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuchangia pato la Taifa.
Akizungumza wakati wa zoezi la kutoa elimu ya biashara kwa wafanyabishara wadogo na wakati linaloendelea mkoani tanga na kuratibiwa na kampuni ya simu za mikononi ya airtel chini ya mpango wa ”airtel fursa”meneja wa airtel mkoa wa tanga bwana ruta kweka amesema lengo hasa ni kutaka kuwakwamua wafanyabishara...
9 years ago
Dewji Blog30 Sep
MO kuanzisha benki ya mikopo kwa wafanyabishara wadogo nchini
CEO wa Kampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akiwa ofisini kwake.
Na Modewjiblog team
Mfanyabiashara Bilionea Mohamed Dewji ambaye hivi karibuni amepata tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Afrika wa mwaka 2015, katika kinyang’anyiro cha tuzo za wafanyabiashara bora wa Afrika (African Business Awards 2015) amebainisha kuwa lengo kuu la kampuni anayoiongoza ya MeTL Group, hadi kufikia mwaka 2022, ni kufikia dola bilioni 5 huku akitarajia kuajiri wafanyakazi zaidi ya Laki moja.
Dewji maarufu...
10 years ago
VijimamboMaalim Seif afungua Kongamano la wafanyabishara na wawekezaji Milan
9 years ago
GPLMO KUANZISHA BENKI YA MIKOPO KWA WAFANYABISHARA WADOGO NCHINI
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
Wafanyabishara wa soko kuu la Singida mjini wako hatarini kuugua magonjwa ya mlipuko!
Ghuba la kuhifadhia taka ngumu la soko kuu Singida mjini, likiwa limejaa taka na kutapika nje kitendo kinachohatarisha afya za wafanyabiashara wa soko hilo na wapitaji.(Picha na Nathaniel Limu).
5 years ago
MichuziROSTAM AKABIDHI VIFAA KUPAMBANA NA CORONA DAR, AWATUMIA UJUMBE WAFANYABISHARA KUISAIDIA SERIKALI
Mwandishi Wetu, Michuzi TV
MFANYABIASHARA maarufu nchini Rostam Aziz amekabiodhi vifaa mbalimbali vikiwamo vitakasa mikoni na barakoa ili kusaidia mapambano dhidi ya Corona jijini Dar es Salaam.
Rostam amekabidhi msaada huo leo Aprili 16 mwaka 2020 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kwa Waziri Mkuu aliyoitoa wiki iliyopita ya kutoa Sh.bilioni moja kusaidia vifaa hivyo katika daladala za jiji la Dar es Salaam na Zanzibar.
Akizungumza baada ya kukabidhi...
5 years ago
CCM BlogROSTAM AKABIDHI VIFAA KUPAMBANA NA CORONA DAR, AWATUMIA UJUMBE WAFANYABISHARA KUISAIDIA SERIKALI
Mwandishi Wetu, Michuzi TV
MFANYABIASHARA maarufu nchini Rostam Aziz amekabiodhi vifaa mbalimbali vikiwamo vitakasa mikoni na barakoa ili kusaidia mapambano dhidi ya Corona jijini Dar es Salaam.
Rostam amekabidhi msaada huo leo Aprili 16 mwaka 2020 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kwa Waziri Mkuu aliyoitoa wiki iliyopita ya kutoa Sh.bilioni moja kusaidia vifaa hivyo katika daladala za jiji la Dar es Salaam na Zanzibar.
Akizungumza baada ya...