Wafanyabishara zaidi ya 300 Tanga kuongezewa mitaji
Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbalimbali mkoani tanga wanatarajiwa kuongezewa mitaji ili kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuchangia pato la Taifa.
Akizungumza wakati wa zoezi la kutoa elimu ya biashara kwa wafanyabishara wadogo na wakati linaloendelea mkoani tanga na kuratibiwa na kampuni ya simu za mikononi ya airtel chini ya mpango wa ”airtel fursa”meneja wa airtel mkoa wa tanga bwana ruta kweka amesema lengo hasa ni kutaka kuwakwamua wafanyabishara...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili03 Nov
IS waua zaidi ya watu 300 Iraq
9 years ago
StarTV03 Dec
Zaidi ya nyumba 300 zakatiwa umeme Kinondoni
Shirika la Umeme Tanesco mkoa wa Kinondoni Kaskazini umezikatia umeme nyumba zaidi ya mia tatu zilizobainika kuhujumu miundombinu kwa kujiungia umeme kinyume cha sheria ili waweze kutumia umeme bila malipo yoyote.
Operation hiyo ambayo imeanza tangu mwaka 2011 imelenga kukomesha vitendo vya uhujumu miundombinu ya umeme ili kuwawezesha wananchi kunufaika na rasilimali hiyo kwa maendeleo yao..
Wakaguzi hao wakiwa katika mtaa Oyerstabay kata Msasani barabara ya Mkadini nyumba Prot no; 63...
9 years ago
StarTV26 Dec
Zaidi ya wagonjwa 300 kufanyiwa upasuaji wa macho Mwanza
Zaidi ya wagonjwa 300 wenye matatizo ya macho mkoani Mwanza wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa macho kati ya wagonjwa elfu tano watakaopatiwa matibabu na Taasisi ya Bilali Muslim misheni ya nchini Tanzania.
Matibabu hayo yanayotolewa na jopo la madaktari bingwa wa huduma za upasuaji wa magonjwa ya macho ni ishara tosha kuwa ni mkombozi wa utatuzi wa magonjwa hayo ambayo imekuwa ni changamoto kubwa miongoni mwa jamii kutokana na kuwa na gharama kubwa.
mkazi wa Mkuyuni jijini Mwanza mwenye...
9 years ago
Michuzi
WAKULIMA ZAIDI YA 300 WA MKOA WA MTWARA WAJIUNGA NA NSSF
Kampeni hiyo yenye malengo ya kufikia umma wa Watanzania ambao haujafikiwa na elimu ya Hifadhi ya jamii, Kuwaandikisha kujiunga na NSSF ili kuongeza wigo wa wanachama na pia Kupata mrejesho wa huduma zetu kutoka kwa wanachama wa mfuko.
Imemaliza mkoani Mtwara na...
11 years ago
CloudsFM05 Aug
SHAROBARO MUSIC YAMWINGIZIA BOB JR ZAIDI YA MILIONI 300
STAA wa Bongo Fleva,mbaye ni mmliki wa studio ya Sharobaro records,Bob Junior hivi karibuni aliandaa sherehe ya miaka 8 tangu kuanzishwa kwa studio yake ambayo ilianzishwa chini ya wasanii watatu ambao ni Bob Junior mwenyewe, Ally Kiba na Hakeem 5, kama unakumbuka studio hiyo ilihusika kutengeneza album ya kwanza ya Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz, album ya kwanza ya msanii Top C na studio hiyo pia imetoa wasanii kibao.
10 years ago
GPLMAWAKALA ZAIDI YA 300 MWANZA WAWEZESHWA KUPATA MIKOPO
9 years ago
Michuzi
Zaidi ya vijana 300 wajitokeza katika usaili wa Swahili fashion week