Zaidi ya vijana 300 wajitokeza katika usaili wa Swahili fashion week

Zaidi ya vijana mia tatu wajitokeza katika usaili wa Onesho la Swahili fashion week ulifanyika mwishoni mwa wiki katika hoteli ya Colosseum iliyopo Oster bay jijini Dar es Salaam.Mwitikio ulikuwa mkubwa sana kwa vijana ikiwa ni kutaka kushiriki katika onyesho hilo linalozidi kukua zaidi kwa kuhudhuriwa na wanamitindo wa kimataifa hapa nchini. Akiongea katika usaili huo Mwanamitindo maarufu nchini Mustafa Hassanali ambaye ni mwasisi wa shindano hili amesema kuwa umaarufu wake umekuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Maonyesho ya Swahili Fashion Week
10 years ago
Vijimambo
SWAHILI FASHION WEEK 2014


Swahili fashion week mwaka huu itakusanya wabunifu 24 kutoka ndani na nje ya Tanzania watakaoonesha mitindo na ubunifu wao wenye kuendana na wakati utakaoshika soko la Afrika mashariki.
" Swahili Fashion week mwaka huu ina lengo la kuifikia jamii zaidi na kuendeleza vipaji katika tasnia ya mitindo na ubunifu wa mavazi. Lengo ni kuendeleza vipaji vya wabunifu wa ndani ili waweze kujulikana kimataifa zaidi". Amesema Washington Benbella meneja mradi wa Swahili fashion week.
Ikiwa ni mwaka wa 7...
9 years ago
TheCitizen11 Dec
How Swahili Fashion Week lived up to its billing
9 years ago
Michuzi
SWAHILI FASHION WEEK AWARD WINNERS 2015

BAILEYS FEMALE MODEL OF THE YEARUpendo Mlay (Arusha)
EAST AFRICAN MODEL OF THE YEARVivian Mutesi (Uganda)
NEW FACE OF THE YEARSuma YM
DARLING HAIR AND MAKE UP ARTIST OF THE YEARSimply Gorgeous
ACCESSORY DESIGNER OF THE YEARKauli (Moshi)
STYLISH MALE PERSONALITYRio Paul
BAILEYS STYLISH FEMALE PERSONALITYJokate Mwegelo
EMERGING DESIGNERS COMPETITION 2015 WINNERLilian Patropa
EATV EAST AFRICAN DESIGNER OF THE YEARSylvia Owori (Uganda)
KHIMJI'S UPCOMING DESIGNER OF THE...
9 years ago
Dewji Blog08 Nov
9 years ago
Michuzi
SWAHILI FASHION WEEK AWARDS nominees announced.

For complete list CLICK HERE
9 years ago
Michuzi
VODACOM YAENDELEA KUNOGESHA SWAHILI FASHION WEEK


10 years ago
Michuzi06 Dec
Your Last Chance to VOTE SWAHILI FASHION WEEK 2014
SWAHILI FASHON WEEK & AWARDS 2014
POP UP SHOP on Sunday 7th December hosted By Alexis Grahamwife of Candaian High Commissioner to Tanzania at her residence onToure Drive from 1-5PM - FREE ENTRY
VOTING Lines close at Midnight (EAT) VOTE NOW
Tickets available ONLY@ EPIDOR in Masaki @30,000TZS
Tickets at entrance is priced at 40,000TZS5-7 December 2014
HOTEL SEA CLIFF
DAR ES SALAAM
CONTACTS:
General: +255757828832
POP-UP SHOP:+255787747918
VIP FRONT ROW Tickets SMS:+255767222441









9 years ago
Michuzi
THE 8th SWAHILI FASHION WEEK 2015 IS HERE, GRAB YOUR TICKETS NOW!

During Day time there shall be a shopping festival whereby various exhibitors shall display and sell various crafts, art and accessories.For more CLICK HERE
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10