Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHULE TANO ZA MKOANI MWANZA ZAFUNGWA BAADA YA KIPINDUPINDU KUUA WANANE

MLIPUKO wa ugonjwa wa kipindupindu umeshika kasi sasa mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Morogoro, Singida na Mwanza baada ya kusababisha vifo vya watu kadhaa na wengine wengi kulazwa mahospitalini tangu ugonjwa huo uanze kusambaa kwa kasi nchini mwanzoni mwa Agosti. Bakteria aina ya vibrio chorelae ambao husababisha ugonjwa wa kipindupindu Hali inazidi kuwa mbaya katika maeneo mbalimbali nchini kutokana na mlipuko wa kipindupindu,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kipindupindu chakumba wanane kila siku

KASI ya ugonjwa wa kipindupindu katika Manispaa ya Dodoma inazidi ambapo mpaka sasa kuna wastani wa wagonjwa wapya wanane kila siku ambapo mpaka sasa jumla ya wagonjwa waliolazwa ni 48.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chazidi kuua Sengerema

Idadi ya wagonjwa waliokufa kwa ugonjwa wa kipindupindu wilayani hapa Mkoa wa Mwanza imeongezeka kutoka sita hadi kufikia tisa.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaendelea kuua D’Salaam

dadi ya watu waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu imeongezeka na kufikia 17 baada ya watu wengine wawili kupoteza maisha jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Meningitis; Shule zafungwa Niger

Shulenchini Niger zinafungwa kwa siku kadha wakati nchi hiyo inapojaribu kukabilian na mlipuko wa ugonjwa wa uti wa mgongo

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Elimu afungua Mafunzo Kazini kwa Walimu, atembelea shule na vyuo mkoani Mwanza

Matukio mbalimbali katika ziara ya siku moja ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome mkoani Mwanza. Na hotuba yake katika ufunguzi wa Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA wanaofundisha katika shule za sekondari katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Kagera na Mara.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome katika maabara ya TEHAMA katika shule ya sekondari Pamba.  Katibu Mkuu...

 

9 years ago

Dewji Blog

WANAFUNZI WENYE ALBINISM: Wakatisha masomo baada ya shule yao kukosa chakula Mkoani Singida!

ZIADAKatibu Mkuu wa chama cha Albino Tanzania (TAS) Ziada Nsembo akizungumza kwenye semina ya uhabarisho juu ya majukumu ya waandishi wa habari kuibua na kuandika habari zinazohusu watu wenya ulemavu wa aina mbalimbali.

Na Nathaniel Limu

[SINGIDA] Jumla ya wanafunzi 37 wenye ulemavu wa ngozi (Albino) wa shule ya msingi mchanganyiko Izenga wilaya ya Iramba mkoani Singida,wamelazimika kukatisha masomo yao kwa muda usiojulikana kutokana na shule hiyo kukosa chakula.   Imedaiwa wanafunzi hao wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Shule 700 zafungwa Korea Kusini

Zaidi ya shule 700 Korea Kusini zimefungwa kuhofia kuenea kwa ugonjwa uliozuka kwa ugonjwa unaoshambulia mfumo wa upumuaji.

 

9 years ago

BBCSwahili

Shule zafungwa Kenya kutokana na mgomo

Wanafunzi wengi Kenya wamesalia nyumbani baada ya serikali kuagiza kufungwa kwa shule zote leo kwa sababu ya mgomo wa walimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani