Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sengerema yaahidiwa Mji

MJI wa Sengerema umeahidiwa kutoka mamlaka ya mji mdogo kuwa halmashauri ya mji iwapo Chama Cha Mapinduzi kitaingia madarakani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Samia aiahidi Sengerema halmashauri ya mji CCM ikichaguliwa

Mgombea mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan ameahidi kuufanya Mji wa Sengerema kuwa halmashauri, endapo wananchi watampa ridhaa ya kuingia Ikulu, Dk John Magufuli.

 

10 years ago

BBCSwahili

Gaza yaahidiwa mamilioni

Wafadhili mjini Cairo wameahidi kutoa dola za kimarekani bilioni tano nukta nne kwa Gaza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ivorycoast yaahidiwa zawadi kedekede

Timu ya taifa ya Ivorycoast imeahidiwa kupewa zawadi kedekede baada ya kunyakua Kombe la Mataifa Afrika

 

11 years ago

Mwananchi

Nigeria yaahidiwa donge nono CHAN

Wachezaji wa timu ya taifa ya Nigeria wameahidiwa kiasi cha dola 100,000 kama wakiifunga Morocco leo katika mechi ya nusu fainali ya Fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN).

 

10 years ago

CloudsFM

TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA

Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.

 

10 years ago

Vijimambo

CHADEMA WAUNGURUMA SENGEREMA

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Salim Mwalim, akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sengerema mjini humo mkoani Mwanza hivi karibuni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Salim Mwalim (kushoto) akimsikiliza kada wa Chadema Wilaya ya Sengerema, Hamis Tabasamu (kulia) akieleza nia yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Sengerema katika Uchaguzi Mkuu 2015 K-VIS Blog

 

10 years ago

Dewji Blog

Kivuko cha Mv Sengerema

PG4A7006

Kivuko cha Mv Sengerema kikikaribia kuwasisili kwenye gati la Busisi wilayani Sengerema kikitoka Kigongo Mwanza Machi 21, 2015. Kivuko hicho ni moja ya vivuko vitatu vinavyovusha magari na abiria kati ya Kigongo na Busisi mkoani Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

GPL

KWAHERI ELIAS DEDE SENGEREMA

Picha ya enzi za uhai wa wake marehemu Elias Dede Sengerema. Waombolezaji wakishuka kwenye gari eneo la makabuli ya familia, Ipango, Salawe, Shinganya Vijijini.…

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chazidi kuua Sengerema

Idadi ya wagonjwa waliokufa kwa ugonjwa wa kipindupindu wilayani hapa Mkoa wa Mwanza imeongezeka kutoka sita hadi kufikia tisa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani