Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBARONI KWA KUTESA MAHAUSIGELI

Na Joseph Ngilisho Arusha Mwanamke mmoja, Anna Livingstone Mushi (38), mkazi wa Oldadai wilayani Arumeru, ametiwa mbaroni na polisi kwa madai ya kuwapiga mijeledi ya waya wa umeme, kuwachoma na pasi mgongoni na kuwakata makalio mahausigeli wake wawili. Anna Livingstone Mushi akiwa chini ya ulinzi. Wasichana hao Rehema Musa (20), mkazi wa Singida na mwenzake, Jesca Mathiasi (15), mkazi wa Mkoa wa Kilimanjaro wamelazwa katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Baba mbaroni kwa kutesa wanaye

MATESO Hassan Mkazi wa Kijiji cha Karago, Kata ya Sunuka Wilaya ya Uvinza mkoani hapa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuwafungia ndani watoto wake wanne...

 

11 years ago

GPL

NATURE, UMESAHAU KUTESA KWA ZAMU?

Mkongwe wa Bongo Fleva Juma Kasimu Mohamed Kiroboto alimaarufu kama Sir Nature au Kibla. KAMA utaambiwa uwataje wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao wamewahi kuwa na mamia ya mashabiki wa ukweli hapa nchini, utawataja wengi. Lakini utakuwa haujaitendea haki Bongo Fleva kama katika orodha yako, litakosekana jina la Juma Kasimu Mohamed Kiroboto ambaye mashabiki wake humuita Sir Nature au Kibla. Wakati flani, Bongo Fleva...

 

11 years ago

GPL

7. MATAPELI WANAVYOIBA KUPITIA MAHAUSIGELI

UKIWA una dhahabu, yaani hereni, mikufu, pete ama bangili za dhahabu basi unatakiwa kusoma mkasa huu ili ukampe somo ‘hausigeli’ wako na achukuwe tahadhari atakapokutana na matapeli ambao hupenda kuwachota akili na hatimaye kujikuta mkiibiwa. Matapeli wa madini mara nyingi hutumia akili sana kukuibia. Hufanya utafiti na kujua nani katika mtaa fulani ana  mkufu, hereni, pete au bangili za dhahabu. Kabla ya kukuibia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi mbaroni kwa kumburuza mwanamke umbali wa mita 200 kwa tuhuma za wizi

Viongozi na wanaharakati wa haki za binaadamu kutoka kaunti ya Nakuru nchini Kenya wamepaza sauti zao kukemea vitendo vya ukatili unaofanywa na polisi mjini humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanamke mbaroni kwa kujeruhi kwa maji ya moto

JESHI la Polisi mkoani Singida linamshikilia mkazi wa Misuna, katika Manispaa ya Singida, Mary Muna (31) kwa tuhuma ya kumuunguza kwa maji ya moto mwilini mwanamke mwenzake kutokana na wivu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbaroni kwa kuua mwanafunzi kwa moto

Jeshi la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumjeruhi kwa moto na kusababisha kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ruaha mkoani Iringa (RUCO), Daniel Lema (25).

 

11 years ago

BBCSwahili

Mashoga wapinga Urais wa Kutesa UN

Wakereketwa wa kutetea haki za watu wa jinsia moja nchini Uganda wamepinga kuchaguliwa kwa Waziri Sam Kutesa kama Rais katika UN.

 

10 years ago

Bongo Movies

Chegge Kutesa Katika Tamthilia

Staa wa muziki Chegge Chigunda ameweka wazi kuwa baada ya kuona ukubwa na mafanikio ya projekti ya filamu aliyofanya huko Nairobi, katika siku zijazo ataanza kuonekana katika Tamthilia ya Muendelezo ama Series ya kazi hiyo ambayo ilifanyika miaka kadhaa iliyopita.

Chegge ambaye hivi sasa anatamba katika chati mbali mbali kupitia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina 'Mwananyamala', ambaye ameeleza kuwa atatanguliza projekti ya awali ya kazi hiyo ambayo imekwishakamilika, anatarajiwa kuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kipindupindu chaendelea kutesa jijini Dar

Muuguzi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Nusura Kessy (kushoto), akiwaelekeza wauguzi wa saidizi wake namna ya kuchanganya dawa maalumu ya kuondoa vijiji vinavyoweza kuwa vya ugonjwa wa kipindupindu katika kambi ya wagonjwa walioathiriwa na ugonjwa huo iliyopo Zahanati ya Mburahati Dar es Salaam leo asubuhi. Katika kambi hiyo kuna wagonjwa 21 kati yao watoto ni 7.

Vyombo vikiwekwa kwenye dawa.

Muuguzi Msaidi wa Zahanati ya Mburahati, Maimuna Pazi (kushoto) na Mlinzi wa Zahanati hiyo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani