Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


7. MATAPELI WANAVYOIBA KUPITIA MAHAUSIGELI

UKIWA una dhahabu, yaani hereni, mikufu, pete ama bangili za dhahabu basi unatakiwa kusoma mkasa huu ili ukampe somo ‘hausigeli’ wako na achukuwe tahadhari atakapokutana na matapeli ambao hupenda kuwachota akili na hatimaye kujikuta mkiibiwa. Matapeli wa madini mara nyingi hutumia akili sana kukuibia. Hufanya utafiti na kujua nani katika mtaa fulani ana  mkufu, hereni, pete au bangili za dhahabu. Kabla ya kukuibia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MBARONI KWA KUTESA MAHAUSIGELI

Na Joseph Ngilisho Arusha Mwanamke mmoja, Anna Livingstone Mushi (38), mkazi wa Oldadai wilayani Arumeru, ametiwa mbaroni na polisi kwa madai ya kuwapiga mijeledi ya waya wa umeme, kuwachoma na pasi mgongoni na kuwakata makalio mahausigeli wake wawili. Anna Livingstone Mushi akiwa chini ya ulinzi. Wasichana hao Rehema Musa (20), mkazi wa Singida na mwenzake, Jesca Mathiasi (15), mkazi wa Mkoa wa Kilimanjaro wamelazwa katika...

 

10 years ago

Bongo Movies

Matapeli Wamlostisha Snura

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amefunguka kwa kusema kuwa mtu aliyeteka namba yake ya simu na kuitumia akiomba fedha na kuitumia kama ni yeye amemfanye apate matatizo na usumbufu usio na manufaa zaidi ya kumkera katika shughuli zake.

“Aliyenifanyia ujinga wa kuharibu namba yangu ya simu na kuanza kuitumia yeye kama mimi si siri amenitia umaskini kwa wakati ule kwani baadhi ya wateja wa kazi zangu walikuwa wakitumia kwa mawasiliano na mimi, lakini...

 

9 years ago

Mwananchi

Matapeli 15 wa viwanja wadakwa

Zaidi ya watu 15 wamekamatwa kwa tuhuma za uvamizi na uuzaji wa viwanja vya watu katika Mtaa wa Kulangwa, Kata ya Goba Manispaa ya Kinondoni katika kipindi cha wiki moja.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Matapeli hawa wasakwe

MOJA ya habari zilizimo kwenye Gazeti hili leo, inazungumzia kuibuka kwa kundi la matapeli linaloliza watu mamilioni ya fedha kwa kisingizio kwamba wanaweza kuwasaidia kupata ajira katika baadhi ya idara...

 

11 years ago

GPL

NORA ATESWA NA MATAPELI

Stori:  Gladness Mallya
MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ amefunguka kuwa anakerwa na matapeli walioibuka ambao wanawatapeli wasanii wa kike wakiwadanganya kwamba wanawachezesha filamu kumbe ‘changa la macho’. Nuru Nassoro ‘Nora’. Akistorisha na paparazi wetu, Nora alisema hivi karibuni alikutwa na mkasa huo baada ya kupigiwa simu na wanaume wawili waliodai kwamba wana...

 

9 years ago

Habarileo

Tasaf yadhibiti matapeli

MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) katika Manispaa ya Kigoma umesema umeweza kudhibiti udanyanganyifu wa majina ya watu ambao hawapaswi kuhudumiwa na mfuko huo katika mpango wa kusaidia kaya masikini.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli: Epukeni matapeli wa kisiasa

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli, amewataka Watanzania kuwa makini wasije kudanganywa na matapeli wa kisiasa watakaokuja na ahadi za uongo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matapeli wa kuunganisha umeme waibuka

SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limewataka wananchi kuwa makini na  utapeli unaofanywa na baadhi ya watu ambao wanawarubuni wanaotaka kufungiwa umeme katika makazi yao kwa kuwadanganya kwamba wanaweza kuwasaidia kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Matapeli ya mikopo waliza watu 10

Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera SensoWATU zaidi ya 10 wametapeliwa fedha, walizotuma kwa mtandao baada ya kurubuniwa kuwa wangepata mikopo katika taasisi, iliyojitambulisha kwa jina la Savings Foundation Loans na kudai ofisi zake ziko katika Jengo la Utumishi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani