Magufuli: Epukeni matapeli wa kisiasa
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli, amewataka Watanzania kuwa makini wasije kudanganywa na matapeli wa kisiasa watakaokuja na ahadi za uongo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Dk Magufuli aliibuliwa na wazee kisiasa
5 years ago
MichuziTAASISI YA AMANI TANZANIA YAWATAKA WANASIASA KUACHA KUTUMIA JANGA LA CORONA KAMA MTAJI WA KISIASA, WAUNGA MKONO HOTUBA YA RAIS MAGUFULI
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
‘Epukeni tiba za kitapeli’
MKURUGENZI wa Kitengo cha Tiba Asili na Tiba Mbadala, Dk. Poul Mhare, amewataka wananchi kujiepusha na matapeli wanaoweka mabango barabarani na kujifanya wanatibu magonjwa mbalimbali kwa tiba asilia. Alitoa kauli...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
‘Epukeni propaganda za CCM’
MKURUGENZI wa Sera na Utafiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwitara Waitara amewataka wananchi kujihadhari na propaganda zinazofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu mchakato wa Katiba mpya....
10 years ago
Mwananchi16 Jan
‘Epukeni uzalishaji wa mazao sumu’
11 years ago
Habarileo31 Dec
Epukeni uvunjifu wa amani -Makamba
WANANCHI mkoani Kagera wameaswa kulinda amani kwa kuepuka uvunjifu wa amani, kutokana na tofauti za kidini au kisiasa.
11 years ago
Habarileo23 Feb
Spika- Wabunge wanawake epukeni Ukimwi
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amewafunda wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba dhidi ya vitendo vinavyoweza kuwavunjia heshima na kuwaambia Ukimwi upo na umekithiri. Makinda, ambaye hiki ni kipindi chake cha nane akiwa bungeni, alitoa hadhari hiyo jana mjini hapa kwenye semina ya wajumbe wanawake wa Bunge hilo.
10 years ago
Habarileo26 Jun
Epukeni matumizi yanayokatisha tamaa wananchi-RC
WAKURUGENZI wa halmashauri za mkoa wa Kagera wametakiwa kuhakikisha wanasimamia ipasavyo fedha za michango ya ujenzi wa maabara na kuepuka matumizi yanayowakatisha tamaa wananchi wenye moyo wa kuchangia.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Watumishi wa umma epukeni siasa kazini
MIONGONI mwa habari zinazogonga vichwa vya habari kwa takriban mwezi mmoja sasa, ni kuhusu makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutangaza nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika...