Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Spika- Wabunge wanawake epukeni Ukimwi

SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amewafunda wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba dhidi ya vitendo vinavyoweza kuwavunjia heshima na kuwaambia Ukimwi upo na umekithiri. Makinda, ambaye hiki ni kipindi chake cha nane akiwa bungeni, alitoa hadhari hiyo jana mjini hapa kwenye semina ya wajumbe wanawake wa Bunge hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wanawake wabunge Tanzania ni wachapakazi: Spika Anne Makinda


 Joseph Msami katika mahojiano na spika Anne MakindaWakati kikao cha maandalizi ya mkutano wa maspika wa bunge kikimalizika mjini New York, spika wa bunge kutoka Tanzania Anne Makinda amesema wabunge wanawake nchini humo wamefanya kazi kubwa katika kuleta mabadiliko juu ya mtizamo wa watu kuhusu wanawake kwenye jamii.Katika mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa spika Makinda ambaye kwa sasa ni rais wa bunge la nchi za kusini mwa Afrika SADC...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU SPIKA AKABIDHIWA TUZO NA BARAZA LA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI NCHINI



Naibu Spika Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akipokea tuzo maalum ya kuthamini mchango wake katika kupambana na Ukimwi na Kifua kikuu nchini iliyotolewa na Chama cha Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi nchini (NACOPHA) na kukabidhiwa kwake na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Oscar Mukasa hii leo Jijini...

 

9 years ago

Mwananchi

Wabunge wa Ukawa walia na Spika

Mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea amesema atamfikisha mahakamani Spika wa Bunge, Job Ndugai kwa kuvunja kanuni baada ya kuwaingiza polisi ndani ya ukumbi wa chombo hicho.

 

10 years ago

Habarileo

Spika awapa somo wabunge

Spika wa EALA, Daniel KidegaSPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Daniel Kidega amewataka wabunge na watunga Sheria kuwajibika, kushiriki kikamilifu katika maendeleo baada ya kuifikia ajenda ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia 2015.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge waungana kumpongeza Spika

Spika wa Bunge, Anne MakindaWABUNGE wamempongeza Spika wa Bunge, Anne Makinda kwa kusimamia kuanzishwa kwa Kamati ya Bunge ya Bajeti pamoja na Sheria ya Bajeti kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, jambo litakalodhibiti na kuziba mianya ya matumizi mabaya ya fedha za Serikali.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wabunge njaa kali, Spika alalama

WAKATI Serikali ikipongezwa kupunguza madeni ya walimu, imetakiwa pia kulipa madeni ya wabunge ambayo wanadai muda sasa. Kauli ya kuitaka Serikali kuwalipa wabunge ilitolewa jana mjini hapa na Naibu Spika,...

 

10 years ago

Habarileo

Spika ataka wabunge kurejea mjengoni

Spika wa Bunge, Anna Makinda.SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amevitaka vyama vya siasa kuhakikisha vinawarudisha bungeni wabunge wao, tayari kusikiliza majibu ya serikali katika hoja walizotoa katika Bajeti.

 

10 years ago

Habarileo

Spika,Masaju wananga wabunge ‘vigeugeu’

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju.MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewaomba wabunge kutumia kauli za busara wanapochangia mijadala bungeni, kuepusha kuikatisha Serikali tamaa ya kutekeleza wajibu wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge Afrika Mashariki waache kumghasi Spika

Inasikitisha kuona kwamba wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wameendelea na mizozo kiasi cha kukwamisha shughuli za Bunge hilo na kusababisha hofu kwamba linaweza kusambaratika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani