Wabunge njaa kali, Spika alalama
WAKATI Serikali ikipongezwa kupunguza madeni ya walimu, imetakiwa pia kulipa madeni ya wabunge ambayo wanadai muda sasa. Kauli ya kuitaka Serikali kuwalipa wabunge ilitolewa jana mjini hapa na Naibu Spika,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Jun
Mkionyesha njaa mtajishushia heshima - Spika
10 years ago
Tanzania Daima24 Oct
Wabunge walia njaa
WABUNGE wa Bunge la Muungano, wanakabiliwa na ukata baada ya Ofisi ya Bunge kushindwa kuwalipa posho zao tangu walipoanza vikao vya Kamati za Bunge, jijini Dar es Salaam. Ingawa wabunge...
10 years ago
Habarileo12 Feb
Spika awapa somo wabunge
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Daniel Kidega amewataka wabunge na watunga Sheria kuwajibika, kushiriki kikamilifu katika maendeleo baada ya kuifikia ajenda ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia 2015.
10 years ago
Habarileo29 Mar
Wabunge waungana kumpongeza Spika
WABUNGE wamempongeza Spika wa Bunge, Anne Makinda kwa kusimamia kuanzishwa kwa Kamati ya Bunge ya Bajeti pamoja na Sheria ya Bajeti kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, jambo litakalodhibiti na kuziba mianya ya matumizi mabaya ya fedha za Serikali.
9 years ago
Mwananchi23 Nov
Wabunge wa Ukawa walia na Spika
10 years ago
Habarileo20 Jun
Spika ataka wabunge kurejea mjengoni
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amevitaka vyama vya siasa kuhakikisha vinawarudisha bungeni wabunge wao, tayari kusikiliza majibu ya serikali katika hoja walizotoa katika Bajeti.
11 years ago
Habarileo23 Feb
Spika- Wabunge wanawake epukeni Ukimwi
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amewafunda wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba dhidi ya vitendo vinavyoweza kuwavunjia heshima na kuwaambia Ukimwi upo na umekithiri. Makinda, ambaye hiki ni kipindi chake cha nane akiwa bungeni, alitoa hadhari hiyo jana mjini hapa kwenye semina ya wajumbe wanawake wa Bunge hilo.
10 years ago
Habarileo02 Jul
Spika,Masaju wananga wabunge ‘vigeugeu’
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewaomba wabunge kutumia kauli za busara wanapochangia mijadala bungeni, kuepusha kuikatisha Serikali tamaa ya kutekeleza wajibu wake.
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Wabunge Afrika Mashariki waache kumghasi Spika