Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU SPIKA AKABIDHIWA TUZO NA BARAZA LA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI NCHINI



Naibu Spika Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akipokea tuzo maalum ya kuthamini mchango wake katika kupambana na Ukimwi na Kifua kikuu nchini iliyotolewa na Chama cha Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi nchini (NACOPHA) na kukabidhiwa kwake na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Oscar Mukasa hii leo Jijini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SPIKA JOB NDUGAI AKABIDHIWA MASHINE MAALUM YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA JIJINI DODOMA


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akipita katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyowekwa  geti B la kuingia katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Mashine hiyo itatumiwa na Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge na Wageni maalum watakaotembelea BungeNaibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akipita katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyowekwa geti B la ...

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI ELIMU YA VVU NDIO DAWA YA KUONDOA UNYANYAPAA KWA WATU WANAOISHI NA VVU NCHINI

Na Ahmed Mahmoud, Arusha
Serikali imeeleza kuwa suala la elimu ya masuala ya vvu kwa jamii ni jambo endelevu na linatakiwa kuendelea kutolewa hususani kwenye suala la unyanyapaa ambalo limendelea kushika kasi kwa watu wanaoishi na maambukizi ya ukimwi.

Akiongea kwenye mkutano wa viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali ulioandaliwa na Bunge na Baraza la watu walioishi na VVU Spika wa bunge Job Ngugai alisema kuwa katika umoja wao viongozi wa dini wanauwezo wa kuvunja ukimya kuondoa ubaguzi na...

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI ATOA NENO KWA VIONGOZI WAKUU WA DINI KUHUSU MAPAMBANO DHIDI VIRUSI VYA UKIMWI, UNYANYAPAA

 Na Mwandishi Wetu, Michuzi Globu ya jamiSPIKA wa Bunge Job Ndugai ameziomba  taasisi za dini pamoja na viongozi wakuu wa dini zote kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI huku akitoa rai ya kuondoa unyanyapaa kwa wanaoishi na virusi vya UKIMWI.
Ametoa ombi hilo jijini Arusha wakati akifungua mkutano maalum ulioandaliwa na ofisi yake kupitia NACOPHA chini ya mradi wa Hebu Tuyajenge unaofadhiliwa na USAID kutoka kwa watu wa Marekani. Mutano huo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watu 260wathibitishwa kuwa na virusi ndani ya saa 24 nchini Kenya

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka na kufikia wagonjwa 4,738

 

5 years ago

Michuzi

Watu 913 wapona virusi vya corona nchini Iran, WHO yapongeza

Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa hadi hivi sasa watu 913 walioambukizwa virusi vya corona humu nchini wamepona na kurejea katika maisha yao ya kawaida.

Dk Kianoush Jahanpour, Mkuu wa Kituo cha Mawasiliano ya Umma na Upashaji Habari cha Wizara ya Afya ya Iran alitangaza habari hiyo jana Ijumaa na kuongeza kuwa, watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Iran kufikia jana ilikuwa ni 4,747, kati ya hao 124 wamepoteza maisha kutokana na virusi hivyo lakini waliopona ni watu 913.

Dk...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU SPIKA ALIPOKUWA ZIARA YA KIKAZI NCHINI MALAYSIA

 Naibu Spika Mheshimiwa Job Ndugai akiwa na waheshimiwa  Saleh Ahmed Pamba, (Pangani),Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia) walipokuwa kwenye ziara ya kikazi nchini Malaysia. Katika picha ya pamoja na Afisa wa Bunge, Afisa wa Ubalozi Bwana Dismas Assenga na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je ni kwanini Idadi ya watu walioambukizwa virusi Uganda inapunguzwa?

Waziri wa afya nchini Uganda amerudisha nyuma namba za idadi ya watu waliopata maambukizi ya corona nchini Uganda baada ya rais Yoweri Museveni kutoa agizo kuondoa idadi ya madereva wote wageni katika orodha ya wagonjwa wa corona nchini Uganda.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke anayetetea walio na virusi vya Ukimwi

Phindile Sithole-Spong ni mwanaharakati kutoka Afrika Kusini anayeishi na virusi vya Ukimwi ambaye amekuwa akiongoza juhudi za kukabiliana na unyanyapaa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watu 'wasiojua wana virusi’ wanavyochangia kuongezeka kwa maambukizi

Wanasayansi wamepata ushahidi wa kushangaza kuhusu jinsi virusi vya corona vinavyosambazwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani