Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke anayetetea walio na virusi vya Ukimwi

Phindile Sithole-Spong ni mwanaharakati kutoka Afrika Kusini anayeishi na virusi vya Ukimwi ambaye amekuwa akiongoza juhudi za kukabiliana na unyanyapaa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je, unawatambua watu walio hatarini kuambukizwa virusi vya corona?

Virusi vya corona vinaweza kumuathiri mtu yeyote, lakini watu wenye maradhi fulani pamoja na wazee ni rahisi kupata maambukizi ya ugonjwa huo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mfahamu mwanamke aliyebaini virusi vya corona kabla ya Covid-19

June Almeida alikuwa bingwa wa ugunduzi wa virusi, lakini alikuwa amesahaulika mpaka mlipuko wa corona ulipoibuka ndio akakumbukwa.

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA TBL WALIOPIMWA VIRUSI VYA UKIMWI WAZAWADIWA

Mgeni rasmi Ofisa Uendeshaji, Rasirimali watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Collins Constantine, akishishirikiana na wafanyakazi wenzake wa TBL kuwasha mishumaa kuwakumbuka wenzao waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa Ukimwi.
  Mgeni Ofisa Uendeshaji, Rasirimali watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Collins Constantine akikabidhi zawadi ya jiko la gesi kwa Christopher Mchome, baada ya kushinda bahati nasibu ya wafanyakazi waliopima afya zao, wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi, Dar...

 

9 years ago

BBCSwahili

Nina virusi vya Ukimwi, akiri Charlie Sheen

Muigizaji nguli wa Hollywood, Charlie Sheen amejitokeza wazi na kufichua kuwa anaugua virusi vya ukimwi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Kuganda kwa damu, tatizo linalowakumba wagonjwa wengi walio katika hali mahututi lazua hofu

Wongonjwa wengi ambao wamekuwa na tatizo la damu kuganda katika mishipa wamekuwa wakitumia dawa za kujaribu kuyeyusha damu hiyo na kufanya tatizo hilo lisilo la kawaida kuwa la kipekee.

 

9 years ago

Michuzi

ASILIMIA 75 YA WANAWAKE HUKUTWA WAKIWA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI

 Afisa Elimu kutoka  Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya Moza Makumbuli akuzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu  ya  chanzo kikubwa cha uvunjifu wa amani  nchini unatokana na vijana wanaotumia dawa za kulevya, katika Kongamano la vijana wa kitanzania  kweye ukumbi wa Karemjee  jijini Dar es Salaam. Baadhi ya vijana walio shikiriki katika mkutano huo kweye ukumbi wa Karemjee jijini Dar es Salaam Picha na Emmanuel  Massaka wa Global ya jamii
IMEELEZWA kuwa chanzo...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA APEWA KITABU NA MBUNGE WA ZAMBIA ANAYEISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kitabu kutoka kwa Mbunge wa Bunge la Zambaia, Mhe.  Princess Kasune  ambaye aneishi na virusi vya UKIMWI baada ya Waziri Mkuu, kuzungumza wakati alipozindua kampeni ya kitaifa ya viongozi wa dini na bunge  katika kupunguza unyanyapaa dhidi ya UKIMWI kwenye ukumbi wa Msekwa, bungeni jijini Dodoma, Machi 10, 2020. Kitabu hicho kiitwacho Warrior Princess kimeandikwa na mbunge huyo  kwa lengo la kutoa  maarifa kuhusu kuishi kwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Dawa ya Dexamethasona inaweza kuokoa maisha ya walio katika hatari ya kufariki na Corona

Dawa ya bei rahisi inayopatikana kwa urahisi Dexamethasone inaweza kusaidia maisha ya wagonjwa wa virusi vya corona waliopo katika hali mahututi.

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA TTB WAPATA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA NA UKIMWI

 Dkt. Grarvin Kweka wa Hospitali  ya Taifa ya Muhimbili akionesha namna ya kutumia vitakasa mikono kwa wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) juu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona (Covid 19) wakati wa mafunzo yaliyoandaliwa na kufanyika katika ofisi za Bodi hiyo Jijini Dar es Salaam.
Dkt. Grarvin Kweka wa Hospitali  ya Taifa ya Muhimbili akitoa mada ya namna ya kujikinga na virusi vya Corona kwa  wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) juu ya kujikinga na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani