DK. SHEIN AUNGURUMA JIMBO LA MKOANI PEMBA
Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya mkutano vya Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba kwa ajili ya kampeni yake kwa wananchi wa Jimbo hilo la Mkoani. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMKUTANO WA KAMPENI YA MGOMBEA WA URAIS CCM DK ALI MOHAMED SHEIN,JIMBO LA MKOANI PEMBA
10 years ago
Dewji Blog18 Sep
Mkutano wa Kampeni za Mgombea wa Urais CCM Dk Ali Mohamed Shein, Jimbo la Mkoani Pemba
11 years ago
Michuzi28 Feb
10 years ago
Vijimambo
Profesa Mbarawa Azindua Kampeni ya Kuwania Ubunge Jimbo la Mkoani Pemba.



10 years ago
VijimamboDK. SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOSPITALI YA ABDALLAH MZEE MKOANI PEMBA
10 years ago
Michuzi
PROFESA MBARAWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MKOANI PEMBA KWA TIKETI YA CCM AKIZINDUA KAMPENI

10 years ago
Michuzi
Dkt. Shein azindua Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba


10 years ago
Michuzi
JK AUNGURUMA KISIWANI PEMBA


11 years ago
Dewji Blog05 May
Kinana aunguruma Pemba

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.Katika hobuba yake,Ndg. Kinana amewataka Wananchi wa Kisiwani humo,kutohadaika na Wanasiasa wanapita kila mahali kwa lengo la kulipotosha Taifa,hasa juu ya swala la Muundo wa Serikali katika Mchakato wa Katiba Mpya.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg....