Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana aunguruma Pemba

 

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.Katika hobuba yake,Ndg. Kinana amewataka Wananchi wa Kisiwani humo,kutohadaika na Wanasiasa wanapita kila mahali kwa lengo la kulipotosha Taifa,hasa juu ya swala la Muundo wa Serikali katika Mchakato wa Katiba Mpya.

35

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg....

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KINANA AUNGURUMA PEMBA‏

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.Katika hobuba yake,Ndg. Kinana amewataka Wananchi wa Kisiwani humo,kutohadaika na Wanasiasa wanapita kila mahali kwa lengo la kulipotosha Taifa,hasa juu ya swala la Muundo wa Serikali...

 

9 years ago

Michuzi

JK AUNGURUMA KISIWANI PEMBA

 Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Kikwete akizungumza na Maelfu ya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM  na wananchi wa Kisiwani Pemba katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho katika uwanja wa Gombani yakale leo   na kuwaombea kura wagombea wote wa CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Kikwete akizungumza na Maelfu ya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM  na wananchi wa...

 

9 years ago

GPL

DK. SHEIN AUNGURUMA JIMBO LA MKOANI PEMBA

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya mkutano vya Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba kwa ajili ya kampeni yake kwa wananchi wa Jimbo hilo la Mkoani. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana aunguruma Tandahimba

1

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Tandahimba ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa zao la korosho lina hadithi nyingi sana na njia pekee ya kuleta ukombozi kwa mkulima ni kujenga kwa viwanda vya kutosha vya kubangulia Korosho nchini.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Tandahimba ambapo aliwaambia wasihadaike na wapinzani ambao muda wao wa ujana wameutumia wakiwa CCM na uzeeni kuingia upinzani na kuanza kuhadaa watu walioishi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana aunguruma Mererani

unnamed

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mererani wilaya ya Simanjiro ambao wengi ni wachimbajI wa wadogo wadogo wa madini kwenye mkutano wake mjini Mererani wilaya ya Simanjiro Manyara.

unnamed (1)

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mererani ambao aliwaambia vyama vya Upinzania ni sawa na Jogoo kwani hata awike vipi hawezi fungua mlango na kwa sababu vyama hivyo havipo kwa ajili ya maendeleo ya wananchi basi vinelekea kufa kwani havina sera mpya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana aunguruma jimbo la Mchinga

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika Kitomanga  Mkwajuni jimboni hapo wilaya ya Lindi vijijini.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa jimbo la Mchinga waliojitokeza kumpokea.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza wimbo maalum wa mapokezi kutoka kikundi cha uhamasishaji cha CCM Mchinga mara baada ya kuwasili Kitomanga Mkwajuni jimbo la...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana aunguruma wilayani Uyui

unnamed

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahtubia wakazi wa Loya wilayani Uyui,Katibu Mkuu aliipongeza sana halmashauri ya wilaya kwa kujenga shule za sekondari 18 za kata.

7

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Uyui Mussa Ntimizi akihutubia wakazi wa Loya wakati wa mkutano wa CCM uliofanyika hapo ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye ameanza ziara katika wilaya ya Uyui ikiwa wilaya ya tatu baada ya kumaliza Nzega na Igunga.

8

Katibu wa NEC...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana aunguruma wilayani Kilolo

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa Kilolo Mnadani waliojitokeza kumlaki katika ziara yake wilayani Kilolo.


MBUNGE wa jimbo la Kilolo mkoani Iringa Profesa Peter Msolla akiwasalimia wananchi wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana

  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali ya kikundi cha vijana cha Muungano ambacho kina jumla ya vijana arobaini waliopata mafunzo ya kufyatua matofali na ujenzi.

 ...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AUNGURUMA JIMBO LA MAALIM SEIF


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiweka kifaa cha umeme kwenye transfoma wakati wa uzinduzi wa uwekaji nguzo za umeme katika Kijiji cha Chanjaani, Jimbo la Mtambwe, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Zanzibar leo. Jimbo hilo ndilo alikozaliwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalimu Seif...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani