Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jk aagiza mafanikio elimu kuimarishwa

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amewataka wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi nchini kuimarisha mambo yote yaliyofanikiwa na kutatua matatizo kwenye maeneo yenye matatizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waziri aagiza kuimarishwa bandari ya Mkoani Pemba

WAZIRI wa Mawasiliano na Miundombinu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Juma Duni Haji amelitaka Shirika la Bandari kuimarisha bandari ya Mkoani Pemba ambayo imetangazwa kuwa lango kuu la kiuchumi.

 

11 years ago

Habarileo

Ataka elimu dhidi ya ukatili kuimarishwa

MWENYEKITI wa Umoja wa Wawakilishi wanawake (UWAWAZA) Mgeni Hassan Juma amezitaka asasi za kiraia kufanya kazi ya kutoa elimu kwa wananchi katika masuala mbalimbali ikiwemo ya vitendo vya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia.

 

11 years ago

Habarileo

Aagiza wakaguzi wa elimu kuongeza bidii

Wakaguzi wa Wizara ya Elimu kisiwani Pemba wametakiwa kuongeza bidii, kuhakikisha kwamba wanafuatilia maendeleo ya walimu wakuu katika shule zote na kuongeza kiwango cha ufaulu.

 

10 years ago

Habarileo

Elimu, afya yapaisha mafanikio ya Serikali

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey MwanriSERIKALI imesema imepata mafanikio makubwa katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya na Elimu katika kipindi cha miaka mitano iliyopita na hiyo ni ishara nzuri ya kufikia lengo la uchumi wa kati na endelevu ifikapo mwaka 2025.

 

11 years ago

Mwananchi

Tunayapimaje mafanikio katika sekta ya elimu?

KWA muda sasa Tanzania imeendelea kutajwa kuwa nchi yenye viwango duni vya elimu katika ukanda wa nchi za Afrika Mashariki.

 

11 years ago

GPL

ELIMU, MAFANIKIO KIKWAZO KUPATA MKE

MARAFIKI zangu naamini mpo sawa na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku salama kabisa. Kwa upande wangu, mambo ni mazuri na nimejiandaa kikamilifu kuwapatia mada nzuri kila siku kwa ajili ya kuboresha uhusiano wetu. Leo somo letu linafikia ukingoni baada ya kudumu hapa kwa wiki tatu. Kwa bahati mbaya, wiki iliyopita sikuwepo uwanjani, nilipata dharura kidogo. Leo tunaendelea. Nimeshafafanua mengi na kujenga hoja thabiti...

 

10 years ago

Mtanzania

Sera ya elimu ni mwelekeo mpya wa mafanikio

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru KawambwaNa Markus Mpangala

TANGU kutangazwa kwa mpango mpya wa elimu kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na suala hilo. Baadhi walikuwa wakishangazwa na mpango huo lakini wakakosa hoja za msingi kukosoa zaidi ya malalamiko ya kawaida na yaliyozoeleka.
Wakosoaji hawajatoa njia mbadala wala hawataki kuona mambo mazuri yaliyobuniwa. Binafsi ninadhani ni sahihi kubadili muundo wa elimu ambao kwa namna moja ama nyingine unatusaidia kuendelea kutumia nguvu za ujana kwa kutafuta maarifa zaidi kuliko...

 

9 years ago

Mwananchi

Elimu ya afya chanzo cha mafanikio

Elimu ya afya ya uzazi ni taa kwa wanafunzi na jamii kuhusu miili yao. Wanafunzi wengi wamekuwa wakikatisha masomo, jamii wamejikuta wakitiwa hatiani kutokana na kukosa elimu ya afya ya uzazi na kufahamu kwa kina kuhusu mahusiano ya kimwili yanavyoweza kujenga au kuharibu maisha yake.

 

10 years ago

Dewji Blog

WAMA yajivunia mafanikio katika sekta ya elimu

img_7026-2

Mke wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete.

Taasisi ya WAMA Foundation imefanikiwa kupanua fursa za elimu kwa mtoto wa kike kwa mwaka 2014.

Hayo yamesemwa na Mke wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete wakati Akiongea na wenza wa mabalozi kutoka nchi mbalimbali katika ghafla fupi ya kuukaribisha mwaka mpya 2015 iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam,

Mama Salma alisema kuwa baadhi ya mafanikio yaliyofikiwa na Taasisi ya WAMA ni kukamilika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani