Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Elimu ya afya chanzo cha mafanikio

Elimu ya afya ya uzazi ni taa kwa wanafunzi na jamii kuhusu miili yao. Wanafunzi wengi wamekuwa wakikatisha masomo, jamii wamejikuta wakitiwa hatiani kutokana na kukosa elimu ya afya ya uzazi na kufahamu kwa kina kuhusu mahusiano ya kimwili yanavyoweza kujenga au kuharibu maisha yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Elimu, afya yapaisha mafanikio ya Serikali

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey MwanriSERIKALI imesema imepata mafanikio makubwa katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya na Elimu katika kipindi cha miaka mitano iliyopita na hiyo ni ishara nzuri ya kufikia lengo la uchumi wa kati na endelevu ifikapo mwaka 2025.

 

10 years ago

Mwananchi

Mikakati, mipango ya muda mrefu chanzo cha mafanikio ya kiuchumi

Kwa nchi yoyote ili iendelee, mikakati na mipango ya muda mrefu inatakiwa kuwekezwa ikiwamo rasilimali watu, utawala bora, mazingira mazuri na utulivu wa nchi.

 

11 years ago

Michuzi

Elimu duni chanzo cha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi

Na Anna Nkinda - Washington
Imeelezwa kwamba kutokuwa na uelewa wa kutosha kuhusu ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi, upungufu wa upatikanaji wa huduma za afya, na vitendea kazi, utungaji wa sera zisizo rafiki, pamoja na ukosefu wa takwimu za magonjwa ni moja ya sababu zinazosababisha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wake wa marais wa Afrika waliohudhuria  hafla fupi ya...

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA CHA AFYA YA JAMII (TPHA) CHATOA ELIMU DHIDI YA KUPAMBANA NA TUMBAKU KWA VIJANA WADOGO DAR

Mratibu wa Mradi wa Madhara ya Tumbaku (TPHA) Dk. Bertha T.A. Maegga akizungumza wakati akifungua kongamano hilo lililo washirikisha wadau mbalimbali kwa kutoa muhutasari wa Madhara ya Tumbaku. (Picha na Geofrey Adroph).
Na Andrew Chale, modewjiblog [Dar es Salaam] 
CHAMA cha Afya ya Jamii nchini (TPHA), kimeendesha kongamano maalum kwa wanafunzi wa shule msingi zaidi ya Saba ndani ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kutoa elimu ya madhara yatokanayo na utumiaji wa bidhaa za Tumbaku pamoja...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA ASHTUSHWA NA MAKUSUDI YA WIZARA YA AFYA KUHUSIANA NA KITUO CHA AFYA CHA INYONGA,WILAYA YA MLELE-KATAVI

 Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Inyonga, Dk. Adis Koni akimpatia maelezo Kinana na viongozi wengine wa chama na serikali kuhusu kucheleweshwa kwa makusudi kituo hicho kukipa hadhi ya kuwa hospitali ya wilaya,ambapo imeelezwa kuwa ucheleweshwaji huo unafanywa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,kwani maombi walikwishayatuma Wizarani tangu februari mwaka jana. Kinana akioneshwa baadhi ya vifaa tiba vya kisasa vilivyotolewa msaada na Mbunge wa Jimbo la Katavi, Waziri Mkuu, Mizengo...

 

10 years ago

Michuzi

Madaktari Diaspora kutoka Marekani wakitowa Huduma ya Elimu kwa Wanafunzi wa Chuo cha Eilimu ya Afya Kuhusiana na Saratani ya Matiti na Meno

Rais wa Jumuiya ya Watanzania Washinton Ndg Iddi Sandaly akiutambulisha Ujumbe wa Madaktari 17 Diaspora, waliofika Zanzibar kutoa Tiba ya Maradhi ya Saratani ya Matiti, Kisukari na Meno akitowa maelezo wakati walipofika katik Chuo cha Elimu ya Afya Mombasa Zanzibar, na kutowa Elimu ya kutambua Saratani ya Matiti kwa Kinamama. na kutowa huduma ya uchunguzi wa Meno.Rais wa Jumuiya ya Wanawake Afrika Washington (Africa Womens Cancer Awereness Association ) Dr Ify Anne Nwabukwu, akiutambulisha...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi

Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimu ya msingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne, kuanzia mwaka wa masomo wa 2016 kama ilivyoahidi.  Azma hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa Tanzania wanapata Elimu bila kikwazo ikiwemo ada au malipo.  Katika kutekeleza maamuzi hayo, ada zote zilizokuwa zikilipwa kwa ajili ya elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne zimefutwa.Pia, waraka wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Madaktari Diaspora kutoka Marekani wakitowa Huduma ya Elimu kwa Wanafunzi wa Chuo cha Eilimu ya Afya Kuhusiana na Saratani ya Matiti na Meno.Wakiwa Zanzibar

Madaktari wa kujitolea toka Marekani ambao wamepeletwa Tanzania na Jumuiya ya Watanzania DMV wakiratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa chini ya kitengo cha Diaspora leo siku ya Jumamosi July 25, 2015 walitembelea chuo cha elimu ya Afya na kutoa elimu ya afya ikiwemo Sratani ya Matiti.Madaktari wa kujitolea toka Marekani ambao wamepeletwa Tanzania na Jumuiya ya Watanzania DMV wakiratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa chini ya kitengo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani