Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK aitwa mahakamani kutoa ushahidi

Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa mashahidi wanaotarajiwa kuitwa na walalamikaji katika shauri dhidi ya nchi za Kenya, Uganda na Rwanda linaloendelea katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mdee aitwa mahakamani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeagiza Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wawili kufika mahakamani, ili iweze kuanza kusikiliza kesi inayowakabili ya kupinga amri halali ya Jeshi la Polisi na kukusanyika isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu.

Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Janeth Kaluyenda, baada ya upande wa Jamhuri kueleza kuwa mshtakiwa wa kwanza Mdee, wa tatu Renina Leafyagila na wa sita Sophia Fanuel hawajafika...

 

11 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI SIMBA: Rage aitwa Mahakamani

Wakati Mahakama Kuu ikimuita mahakamani mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage na baraza lake la wadhamani, wagombea uongozi wa klabu hiyo jana walizindua kampeni zao, huku suala uwanja wake na rasilimali watu likichukua nafasi kubwa.

 

10 years ago

Habarileo

‘Toeni ushahidi wa wabakaji mahakamani’

MRATIBU wa mtandao wa kupambana na vitendo vya udhalilishaji kijinsia Jeshi la Polisi Makao Makuu, Hasina Ramadhan Toufik ameitaka jamii kutoa ushahidi mahakamani kwa watu wanaotuhumiwa kubaka ili kukomesha matukio hayo.

 

11 years ago

Habarileo

TFDA yatoa ushahidi wa ARVs ‘feki’ mahakamani

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imedai ilikagua na kugundua dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (ARVs) zilizotengenezwa na Kiwanda cha Tanzania Pharmacentical Ltd (TPL) kinachomilikiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida ni bandia.

 

10 years ago

Habarileo

Wahimizwa kutoa ushahidi

 Mkurugenzi wa Mashtaka na Makosa ya Jinai Zanzibar, Ibrahim MzeeWANANCHI wametakiwa kutoa ushahidi mahakamani kwa watu wanaofanya vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia kama ndiyo njia pekee ya kukomesha matukio hayo.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI.

1.USHAHIDI  WA  KUAMBIWA  NI NINI?

Ushahidi  wa  kuambiwa  ni  ushahidi  unaotolewa  na  mtu  ambaye  hakuona  tukio  likitendeka,  hakusikia  tukio  likitendeka,  hakuhisi  wala  kuonja,  wala  kunusa  jambo  lililo mbele  ya  mahakama  kama  kosa  isipokuwa   aliambiwa    na  mtu  mwingine aliyeona,  kusikia, kuhisi, kunusa  au  kuonja.  Hapa  kuna  watu  wawili,  kwanza  aliyeona au kusikia , na  pili  yule  aliyeambiwa  na  huyu   aliyeona   au  kusikia .   Kwahiyo   katika maana  yetu   ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI

Na  Bashir  Yakub.
1.USHAHIDI  WA  KUAMBIWA  NININI.
Ushahidi  wa  kuambiwa  ni  ushahidi  unaotolewa  na  mtu  ambaye  hakuona  tukio  likitendeka,  hakusikia  tukio  likitendeka,  hakuhisi  wala  kuonja,  wala  kunusa  jambo  lililo mbele  ya  mahakama  kama  kosa  isipokuwa   aliambiwa    na  mtu  mwingine aliyeona,  kusikia, kuhisi, kunusa  au  kuonja.  Hapa  kuna  watu  wawili,  kwanza  aliyeona au kusikia , na  pili  yule  aliyeambiwa  na  huyu   aliyeona   au  kusikia .   
Kwahiyo  ...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Panya Road’ 119 waachiwa kwa kukosekana ushahidi 959 wafikishwa mahakamani

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu  Dar es Salaam limewaachia huru vijana 119 wanaodaiwa  kujihusisha na vitendo vya kihalifu  maarufu kama ‘panya road’  baada ya kukosekana kwa ushahidi wa kutosha.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mawakili wa Pistorius kutoa ushahidi

Oscar Pistorius anatarajiwa kuwa wa kwanza kutoa ushahidi wake katika kesi inayomkabili ya mauaji ya mpenzi wake Reeva Steenkamp

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani