UCHAGUZI SIMBA: Rage aitwa Mahakamani
Wakati Mahakama Kuu ikimuita mahakamani mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage na baraza lake la wadhamani, wagombea uongozi wa klabu hiyo jana walizindua kampeni zao, huku suala uwanja wake na rasilimali watu likichukua nafasi kubwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-OIvczzyp-zQ/TaGsSjDd4xI/AAAAAAAA9e8/onkSU2foDGs/s72-c/04_11_t3yemm.jpg)
Mdee aitwa mahakamani
![](http://2.bp.blogspot.com/-OIvczzyp-zQ/TaGsSjDd4xI/AAAAAAAA9e8/onkSU2foDGs/s640/04_11_t3yemm.jpg)
Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Janeth Kaluyenda, baada ya upande wa Jamhuri kueleza kuwa mshtakiwa wa kwanza Mdee, wa tatu Renina Leafyagila na wa sita Sophia Fanuel hawajafika...
10 years ago
Mwananchi26 Sep
JK aitwa mahakamani kutoa ushahidi
Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa mashahidi wanaotarajiwa kuitwa na walalamikaji katika shauri dhidi ya nchi za Kenya, Uganda na Rwanda linaloendelea katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ).
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
RAGE: UCHAGUZI SIMBA UPO PALE PALE
Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage. MWENYEKITI wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage amesema kwamba, uchaguzi wa klabu hiyo upo pale pale kama ulivyopangwa Juni 29, mwaka huu kwa sababu si yeye wala Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) mwenye uwezo wa kutengua hilo kwa sasa. Akizungumza mjini Dodoma leo mchana, Rage ambaye pia ni Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), amesema kwamba yeye hana mamlaka Kikatiba kwa sasa kubatilisha...
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Ivo aitwa Kenya, Mkude ni Simba tu
Klabu ya Gor Mahia ya Kenya inafikiria kumrudisha kipa wake wa zamani, Ivo Mapunda msimu ujao, wakati kiungo Jonas Mkude akisaini mkataba wa miaka mitatu kwa gharama Sh60 milioni kuitumikia Simba.
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Rage alalama Simba
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage amesema amesikitishwa na madai kuwa hakuhusika na ushindi dhidi ya Yanga.
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Rage ajivua lawama Simba
>Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ameibuka na kusema kuwa lawama za kutokumsajili mshambuliaji wao wa zamani kutoka Uganda, Emmanuel Okwi zielekezwe kwa Kamati ya Usajili na Ufundi wa timu hiyo na wala siyo yeye.
11 years ago
Mwananchi30 Dec
TFF yamtambua Rage Simba
>Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji TFF, imemtaka mwenyekiti halali wa Simba, Ismail Rage kuitisha Mkutano Mkuu kwa mujibu wa taratibu za klabu hiyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania