Mdee aitwa mahakamani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeagiza Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wawili kufika mahakamani, ili iweze kuanza kusikiliza kesi inayowakabili ya kupinga amri halali ya Jeshi la Polisi na kukusanyika isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu.
Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Janeth Kaluyenda, baada ya upande wa Jamhuri kueleza kuwa mshtakiwa wa kwanza Mdee, wa tatu Renina Leafyagila na wa sita Sophia Fanuel hawajafika...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi26 Sep
JK aitwa mahakamani kutoa ushahidi
11 years ago
Mwananchi26 Jun
UCHAGUZI SIMBA: Rage aitwa Mahakamani
10 years ago
Mwananchi29 Oct
CCM kupinga matokeo ya Mdee, Mch. Msigwa mahakamani
10 years ago
GPL
ZARI AITWA KWAO
10 years ago
GPL
Said Ndemla aitwa Ulaya
10 years ago
CloudsFM23 Dec
IDRISS AITWA IKULU
Mshindi wa dola 300,000 za shindano la Bigbrother zaidi ya milioni 500 za Kitanzania,Idriss Sultan ameitwa na ofisi ya rais ikulu kukutana na rais Jakaya Kikwete mchana huu kwa ajili ya mazungumzo maalum na rais.
11 years ago
GPL
MSANII BONGO AITWA NA MAKHIRIKHIRI
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Kafulila aitwa kwa CAG
SIKU moja baada ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) kutoa ushahidi wake kuhusu tuhuma za wizi katika akaunti ya Tegeta Escrow kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na...
11 years ago
GPL
JINI KABULA AITWA CHINA KUJIUZA