Said Ndemla aitwa Ulaya

Kiungo wa Simba, Said Ndemla. Martha Mboma na Sweetbert Lukonge MAWAKALA zaidi ya watano wamejitokeza kwa Klabu ya Simba na kuomba kumchukua kiungo wa klabu hiyo, Said Ndemla kwenda kufanya majaribio katika moja za timu za nje, hasa barani Ulaya.
Ikiwa mipango hiyo itakubalika na kwenda inavyotakiwa, maana yake ni kuwa itakuwa mara yake ya kwanza. Awali, kulitolewa taarifa kuwa, wachezaji wengine wa klabu hiyo, Ramadhani...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM23 Dec
IDRISS AITWA IKULU
Mshindi wa dola 300,000 za shindano la Bigbrother zaidi ya milioni 500 za Kitanzania,Idriss Sultan ameitwa na ofisi ya rais ikulu kukutana na rais Jakaya Kikwete mchana huu kwa ajili ya mazungumzo maalum na rais.
11 years ago
Vijimambo
Mdee aitwa mahakamani

Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Janeth Kaluyenda, baada ya upande wa Jamhuri kueleza kuwa mshtakiwa wa kwanza Mdee, wa tatu Renina Leafyagila na wa sita Sophia Fanuel hawajafika...
10 years ago
GPL
ZARI AITWA KWAO
11 years ago
GPL
MSANII BONGO AITWA NA MAKHIRIKHIRI
11 years ago
Mwananchi26 Sep
JK aitwa mahakamani kutoa ushahidi
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Kafulila aitwa kwa CAG
SIKU moja baada ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) kutoa ushahidi wake kuhusu tuhuma za wizi katika akaunti ya Tegeta Escrow kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
UCHAGUZI SIMBA: Rage aitwa Mahakamani
11 years ago
GPL
JINI KABULA AITWA CHINA KUJIUZA
11 years ago
Michuzi
Mukabwa aitwa Kuvua Viatu Mashabiki

MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili nchini Kenya, Anastazia Mukabwa, ni miongoni mwa wakali ambao mwimbaji Rose Muhando anatamani wawepo kwenye uzinduzi wa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu. Rose Muhando amepanga kuzindua albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu Agosti 3, mwaka huu ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam. Akizungumza na gazeti hili, Muhando alisema Mukabwa aliyemshirikisha katika wimbo wa Vua...