Kafulila aitwa kwa CAG
SIKU moja baada ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) kutoa ushahidi wake kuhusu tuhuma za wizi katika akaunti ya Tegeta Escrow kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
KwanzaJamii17 Sep
KAFULILA AMVAA TENA CAG UTOUH KUHUSU RIPOTI AKAUNTI YA ESCROW
10 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APATA MAPOKEZI MAKUBWA WILAYANI KISHAPU MKOANI SHINYANGA. AITWA “MZEE WA NGUZO” NA KUKABIDHIWA ZAWADI KWA KUSAMBAZA UMEME KWA KASI KUBWA WILAYANI HUMO
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Kafulila atinga kwa IGP
UGOMVI kati ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Fredrick Werema, umechukua sura mpya baada ya jana mbunge huyo kuitwa na Inspekta...
10 years ago
Vijimambo
KAFULILA MBARONI KWA TUHUMA ZA UCHOCHEZI

Kafulila alikamatwa mapema jana asubuhi katika mji mdogo wa Nguruka wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, ambako alikuwa akifanya mikutano ya hadhara, kuelezea sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Escrow na kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za...
5 years ago
Michuzi
CAG ABAINI KUWEPO KWA ONGEZEKO LA DENI LA SERIKALI KWA BOHARI KUU YA DAWA
Charles James, Michuzi TV
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Nchini (CAG) kwa mwaka ulioisha Juni 2019 imebaini kuwepo kuongezeka kwa deni la serikali kwa bohari kuu ya dawa (MSD) kwa kiasi cha Sh bilioni 16.18 kutoka Sh bilioni 37.48 za mwaka uliopita.
Ukaguzi huo wa CAG una mashaka kuwa ukwasi wa MSD unazidi kushuka hivyo kuathiri utekelezaji wa mipango mbalimbali ikiwemo usambazaji wa dawa na vifaa tiba kwa jamii pamoja na utekelezaji wa mipango yake...
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: KAFULILA APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUMTUKANA MKUU WA WILAYA

MBUNGE wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe. David Kafulila amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Wilaya ya Kigoma kujibu shitaka la kutumia lugha ya matumisi dhidi ya Mkuu wa Wilaya Uvinza Khadija Nyembo.
Kafulila alifikishwa mahakamani hapo majira ya saa mbili asubuhi akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Mbele ya Hakimu David Ngunyale,Wakili wa Serekali Marysinta Lazaro alidai kuwa Kafulila alitenda kosa hilo tarehe 1 mwezi wa 8 mwaka 2013 katika kata...
11 years ago
Habarileo30 Mar
CAG apongezwa kwa kuondoa ‘madudu’
OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, imepongezwa kwa kufanya mabadiliko makubwa katika ukaguzi wa hesabu hizo, ukilinganisha na miaka ya nyuma. Imeelezwa kuwa huko nyuma, kulikuwa na matatizo makubwa katika hesabu za fedha za serikali. Kutokana na hali hiyo, CAG ametakiwa aendelee kutimiza majukumu yake kikamilifu.
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
IPTL yamfikisha Mnyika kwa CAG
KASHFA ya uchotajwa wa sh bilioni 200 katika akaunti ya Escrow kwenda kwa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP) iliyonunua hisa za kampuni ya kufua umeme ya...
11 years ago
Habarileo25 Dec
CUF wawasilisha taarifa za hesabu kwa CAG
BARAZA Kuu la Chama cha Wananchi CUF, limesema chama hicho kimeandaa na kuwasilisha taarifa za fedha za chama hicho na kuziwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serika (CAG).