Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSANII BONGO AITWA NA MAKHIRIKHIRI

Na Mwandishi Wetu
MWANAMUZIKI anayetamba na nyimbo za Kisafwa zenye asili ya Mkoa wa Mbeya, Salma Omary ‘Sister Das’ hivi karibuni alipata mwaliko wa kwenda nchini Botswana kukutana na wasanii wa kundi la Makhirikhiri linaloongozwa na Shumba Ratshega. Salma Omary ‘Sister Das’. Akiwa nchini humo, Sister Das alifanya mazungumzo na wasanii wa kundi hilo kuhusu namna ya kuuinua muziki wa asili ikiwa ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MSANII BONGO MOVIE...

Stori: Gladness Mallya
MSANII chipukizi wa filamu wa Kundi la Mwamba Arts, Mariam Glant (20) amenusurika kifo baada ya kunywa sumu kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la kijana aliyejifanya mdogo wa Kanumba anayejulikana kwa jina moja la Chief. Msanii chipukizi wa filamu wa Kundi la Mwamba Arts, Mariam Glant. Akizungumza na paparazi wetu sosi wa karibu na msanii huyo alisema siku ya tukio, Mariam alikuwa nyumbani kwa rafiki yake wa...

 

11 years ago

GPL

A-Z MSANII BONGO MOVIES ALIVYOJINYONGA

Stori: MUSA MATEJA na Imelda Mtema
SAKATA la kujinyonga kwa msanii wa filamu Bongo, Victor Peter limegubikwa na matukio tofauti ya kustaajabisha ambayo marehemu aliyafanya siku kadhaa kabla hajapatwa na umauti, Ijumaa limefukunyua kila kitu. Mwili wa marehemu Victor Peter ukipelekwa mochwari. Kwa mujibu wa rafiki wa marehemu, Hamisi Koba, msanii huyo alijinyonga usiku wa Februari 27, mwaka huu mkoani Tanga ambapo marehemu...

 

11 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI ANASWA AKIJIUZA

Stori: Waandishi Wetu
ILE skendo ya kukithiri kwa baadhi ya mastaa Bongo kujiuza imechukua sura mpya kufuatia msanii wa Bongo Movies, Isabella Francis ‘Vai wa Ukweli’ naye kunasa mtegoni, Ijumaa lina kisa kizima. Vai wa Ukweli akiwa mawindoni. Tukio hilo la aibu kwa tasnia ya sinema nchini lilijiri usiku wa kuamkia Jumanne iliyopita, Sinza ya Vatican jijini Dar es Salaam ambapo baada ya kuumbuka, Vai alijikuta...

 

11 years ago

GPL

LIVA: HAKUNA MSANII FREEMASON BONGO


Stori: Mayasa Mariwata
MWANAMUZIKI wa Bendi ya Diamond Musica,  Liva Hassan ‘Sultan’ amesema hakuna msanii wa Kibongo mwenye uwezo wa kujiunga na Freemason kwani wasanii wengi hawana fedha. Mwanamziki wa Bendi ya Diamond Musica,  Liva Hassan ‘Sultan’. Akinukuliwa na kinasa sauti chetu, Liva alisema taasisi ya Fremason inahitaji mtu tajiri na si vinginevyo.
“Wasanii wa Bongo...

 

10 years ago

GPL

MSANII BONGO FLEVA... AAIBISHA MA-MISS!

Na Mwandishi Wetu
Msanii wa kitambo wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na Kundi la Chamber Squad na ngoma yake ya taifa ya Kama Vipi, Moses Bushagama ‘Mez B’ anadaiwa kuwaaibisha ma-miss kwa kuwalazimisha kupiga nao picha wakiwa watupu. Msanii wa kitambo wa Bongo Fleva wa Chamber Squad Moses Bushagama, ‘Mez B’ akijiachia na 'totoz' fukweni. Tukio hilo la kidhalilishaji na lisilovumilika lilijiri...

 

10 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI ALIVYONUSA KIFO!

Mayasa Mariwat Pole! Msanii wa sinema za Kibongo, Ummy Mohammed amenusa kifo baada ya kunusurika kwenye ajali ya Basi la Al-Saeed alilopanda akitokea mkoani Morogoro kwenda Dar ambapo ameumia mkono wa kushoto. Msanii wa sinema za Kibongo, Ummy Mohammed akionekana na jeraha lake baada ya kunusurika katika ajali. Akilisimulia Ijumaa Wikienda mkasa mzima, Ummy ambaye ni mwigizaji mkongwe aliyeibuka staa kwenye Sinema ya Mke Mchafu,...

 

10 years ago

GPL

MSANII BONGO MOVIE ATIA KINYAA

Stori: Mayasa Mariwata
AIBU! Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ aliyewahi kuripotiwa kujiachia kimalovee na mwanamuziki Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ ametia aibu kubwa baada ya picha zake za utupu kuzagaa mitandaoni. Pichani ni msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ katika pozi tofauti.
Kutokana na picha hizo ambazo zimeonekana kuzagaa katika mitandao mbalimbali na...

 

10 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI AIKIMBIA NYUMBA

Mayasa Mariwata na Gladness Mallya MAJANGA! Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu `Bozi’ amejikuta akifungasha virago na kuhama kwenye nyumba aliyokuwa akiishi maeneo ya Kinondoni jijini Dar kutokana na mjengo huo kutawaliwa na mauzauza yanayosadikiwa kuwa ya kishirikina.......Soma zaidi hapa===>http://bit.ly/1KcokWO

 

10 years ago

GPL

PICHA ZA MSANII BONGO AKIJIFUNGUA ZAANIKWA!

Imelda Mtema
MSANII zao la Kundi la Sanaa la Kaole, Mwasiti Mohamed ‘Sishi’ zimeanikwa katika mtandao wa kijamii wa Instagram zikimuonesha wakati akijifungua akiwa kwenye uchungu mkali. Sishi ambaye kwa sasa anaishi Ufaransa, katika picha hizo alionekana kusaidiwa na mama aliyejulikana kwa jina la Bi. Rukia, ambaye ndiye aliyempeleka nchini humo, huku mashabiki walioziona picha hizo baadhi wakimuonea huruma huku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani