Muuguzi kortini kwa kughushi
Muuguzi Anjelina Maswi (32) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matatu likiwamo la kughushi kadi ya kliniki na kujipatia Sh497,538. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Apr
Wawili kortini kwa tuhuma za kughushi
WASHTAKIWA wawili, Salum Mkoko na Mustaph Kantelu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka matano ya kughushi, kutoa taarifa za uongo, matumizi mabaya ya madaraka na kukwepa kulipa kodi.
10 years ago
Mwananchi05 May
Wanne kortini kwa kughushi muhuri wa IGP
11 years ago
Habarileo28 Mar
Ofisa JWTZ jela kwa kughushi
MWANAJESHI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Muhsin Kombo amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya kughushi.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Akamatwa kwa kughushi fomu za Bima ya Afya
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Mahakamani kwa kughushi tovuti feki kutumia majina ya Taasisi na wanasiasa
11 years ago
Mwananchi10 May
Wanachuo 212 wa Chuo cha Polisi Moshi wafukuzwa kwa kughushi vyeti
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Muuguzi mbaroni kwa kuiba dawa za Serikali
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Sista Theopista: Muuguzi anayefanya kazi akiwa kipofu kwa miaka 28
9 years ago
MichuziDC AAGIZA MUUGUZI ALIYEKAMATWA KWA WIZI WA DAWA SHINYANGA ASIMAMISHWE KAZI MARA MOJA