Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muuguzi mbaroni kwa kuiba dawa za Serikali

Muuguzi mmoja wa Kituo cha Afya cha Kata ya Kambarage, Manispaa ya Shinyanga mkoani hapa, ametiwa mbaroni kwa tuhuma za wizi wa dawa mali ya Serikali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DC AAGIZA MUUGUZI ALIYEKAMATWA KWA WIZI WA DAWA SHINYANGA ASIMAMISHWE KAZI MARA MOJA

  Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amefanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga ili kujionea hali halisi jinsi huduma zinavyotolewa kwa wananchi siku moja tu baada ya muuguzi wa kituo hicho kukamatwa kwa tuhuma ya kuiba dawa za serikali.Pichani ni mkuu wa wilaya Josephine Matiro na katibu tawala wa wilaya ya Shinyanga wakiwa katika chumba cha kuhifadhia dawa wakiwa wamepigwa butwaa baada ya kuona chumba kimesheheni dawa wakati mara kwa mara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mlemavu mbaroni kwa dawa za kulevya

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia Said Tidwa (36), mkazi wa Vijibweni, Temeke kwa tuhuma za kufanya biashara ya dawa za kulevya. Akizungumza na waandishi wa...

 

5 years ago

CCM Blog

MUUGUZI ALIYETUMBULIWA VYETI FEKI MBARONI KUMTOA MIMBA MWANAFUNZI NA KUMSABABISHIA KIFO

Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Dezber Kahwa mwenye umri wa miaka 49 mkazi wa kijiji Kibengwe, Bukoba Vijijini kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Alinda Leverian mwenye umri wa miaka 14.

Aliyeuawa ni mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya Msingi Kilima, ambapo mtuhumiwa huyo alimtoa mimba kwa njia isiyokuwa halali na salama.

Kamanda wa Polisi mkoani Kagera, Revocatus Malimi amesema kuwa tukio hilo lilitokea Februari 08 mwaka huu nyumbani kwa Vedastina Cleophace, huku Kahwa ambaye...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mrembo’ mbaroni kwa dawa za kulevya Uwanja wa Ndege

Kikosi Kazi cha Kupambana na Dawa za Kulevya, Uwanja wa Ndege wa Dar es Salam (JNIA) jana kilimkamata mwanamke mmoja, Salama Omari Muzara akiwa amemeza kete za dawa za kulevya aina ya Heroin ambazo idadi yake kamili haijajulikana.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbaroni akidaiwa kuiba mtoto

Polisi wanamshikilia mkazi wa Mjimwema Makambako kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa kiume mwenye umri ya miezi mitatu katika Hospitali ya Kibena, Njombe.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtumishi adaiwa kuiba dawa hospitalini

Polisi wilayani Rufiji, mkoani Pwani inamshikilia mtumishi wa hospitali ya wilaya ya Rufiji (jina linahifadhiwa) kwa tuhuma za wizi wa makopo 48 ya dawa za antibiotic katika hospitali hiyo.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Daktari atuhumiwa kuiba dawa Igunga


Na Abdallah Amiri, Igunga
MKUU wa wilaya ya Igunga, mkoani Tabora, Elibariki Kingu, ameiagiza polisi wilayani kwake, kumkamata mganga aliyeuza dawa katika zahanati iliyoko kata ya Sungwizi, wilayani Igunga.
Kingu alitoa agizo hilo jana,  alipotembelea kata ya Sungwizi, katika ziara za kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Alisema alishangazwa na taarifa za wananchi kuwa zahanati katika kata ya Sungwizi haina dawa kutokana...

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili mbaroni kwa nyara za Serikali

Polisi mkoani Rukwa inawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa gari mali ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa wakiwa na mizoga miwili ya nyamapori aina ya swala kinyume cha sheria.

 

9 years ago

Mwananchi

100 watiwa mbaroni kwa kuchoma ofisi ya Serikali

Kundi la wananchi leo lilivamia ofisi ya Serikali ya kata ya Njoro,Manispaa ya Moshi, na kuichoma moto wakipinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea udiwani wa Chadema, Jomba Koyi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani