Daktari atuhumiwa kuiba dawa Igunga
Na Abdallah Amiri, Igunga
MKUU wa wilaya ya Igunga, mkoani Tabora, Elibariki Kingu, ameiagiza polisi wilayani kwake, kumkamata mganga aliyeuza dawa katika zahanati iliyoko kata ya Sungwizi, wilayani Igunga.
Kingu alitoa agizo hilo jana, alipotembelea kata ya Sungwizi, katika ziara za kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Alisema alishangazwa na taarifa za wananchi kuwa zahanati katika kata ya Sungwizi haina dawa kutokana...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo15 Dec
Mwalimu Igunga atuhumiwa kutoroka na fedha za shule
MWALIMU Paulo Masabila wa shule ya sekondari Igunga wilayani hapa mkoani Tabora, anatafutwa na baadhi ya wazazi kwa tuhuma za kuondoka na fedha alizowachangisha akidai ni kwa ajili ya safari ya wanafunzi kwenye mbuga za wanyama.
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
Shakira Atuhumiwa Kuiba Wimbo
11 years ago
Habarileo01 Feb
Msichana atuhumiwa kuiba mtoto
MKAZI wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Amina Mwasi (22), anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kuiba mtoto wa kiume mwenye umri siku moja. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema wizi huo ulifanyika Januari 19, mwaka huu katika Zahanati ya Thawi wilayani Kondoa.
10 years ago
Vijimambo28 Sep
Mwanamke atuhumiwa kuiba mtoto
![Mary Rappysn Ishabakaki, ana umri wa miaka minne.](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/IMG-20140716-WA0003.jpg)
Mwanamke mmoja mkazi wa Mchikichini, Mbagala jijini Dar es Salaam, Tatu Nyambwela (30) anashikiliwa na polisi baada ya kutuhumiwa kumuiba mtoto mchanga wa miezi mitatu.
Polisi pia inachunguza mtoto wake mwingine wa miaka sita anayeishi naye baada ya kudaiwa kuwa alimpata kwa njia ya udanganyifu.
Taarifa kutoka eneo hilo zinasema mwanamke huyo alikamatwa wiki...
11 years ago
Habarileo28 Jan
Mwanamke atuhumiwa kuiba ‘kichanga’
MKAZI wa Bunju B, Grace Chapanga(34), anashikiliwa na Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za wizi wa mtoto mchanga wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja. Kamanda wa Kanda hiyo, Kamishna wa Polisi Suleiman Kova alisema Chapanga alimuiba mtoto huyo, Veis Venus Desemba 27 mwaka jana katika maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Polisi Dar atuhumiwa kuiba mtoto Mbeya
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Daktari atuhumiwa kulewa pombe kazini
11 years ago
Habarileo03 Jan
Mnigeria atuhumiwa kukutwa na dawa za kulevya za milioni 54/-
RAIA wa Nigeria, Okwubili Agu (40), amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) akiwa na pipi 71 za dawa za kulevya aina ya heroin, zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 54, alizokuwa amezimeza tumboni.
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Mtumishi adaiwa kuiba dawa hospitalini