Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shakira Atuhumiwa Kuiba Wimbo

mwimbaji mashuhuri, mama mwenye mvuto na kipaji kikubwa,yuko tuhumani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mwanamke atuhumiwa kuiba ‘kichanga’

MKAZI wa Bunju B, Grace Chapanga(34), anashikiliwa na Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za wizi wa mtoto mchanga wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja. Kamanda wa Kanda hiyo, Kamishna wa Polisi Suleiman Kova alisema Chapanga alimuiba mtoto huyo, Veis Venus Desemba 27 mwaka jana katika maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

Mwanamke atuhumiwa kuiba mtoto

Mary Rappysn Ishabakaki, ana umri wa miaka minne.Hii picha ni mtoto Mary Rappyson Ishabakaki mwenye umri wa miaka 4 aliyepotea July 15, 2014. Picha hii haiusiani na habari hapo chini.
Mwanamke mmoja mkazi wa Mchikichini, Mbagala jijini Dar es Salaam, Tatu Nyambwela (30) anashikiliwa na polisi baada ya kutuhumiwa kumuiba mtoto mchanga wa miezi mitatu.

Polisi pia inachunguza mtoto wake mwingine wa miaka sita anayeishi naye baada ya kudaiwa kuwa alimpata kwa njia ya udanganyifu.

Taarifa kutoka eneo hilo zinasema mwanamke huyo alikamatwa wiki...

 

11 years ago

Habarileo

Msichana atuhumiwa kuiba mtoto

MKAZI wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Amina Mwasi (22), anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kuiba mtoto wa kiume mwenye umri siku moja. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema wizi huo ulifanyika Januari 19, mwaka huu katika Zahanati ya Thawi wilayani Kondoa.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Daktari atuhumiwa kuiba dawa Igunga


Na Abdallah Amiri, Igunga
MKUU wa wilaya ya Igunga, mkoani Tabora, Elibariki Kingu, ameiagiza polisi wilayani kwake, kumkamata mganga aliyeuza dawa katika zahanati iliyoko kata ya Sungwizi, wilayani Igunga.
Kingu alitoa agizo hilo jana,  alipotembelea kata ya Sungwizi, katika ziara za kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Alisema alishangazwa na taarifa za wananchi kuwa zahanati katika kata ya Sungwizi haina dawa kutokana...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi Dar atuhumiwa kuiba mtoto Mbeya

Polisi wa kike anayefanya kazi Kituo cha Polisi Ilala, Dar es Salaam amekamatwa jijini Mbeya kwa tuhuma za kuiba mtoto mchanga wa siku saba, Goodluck Salehe wilayani Kyela.

 

9 years ago

Bongo5

Taylor Swift ashtakiwa kwa kuiba mashairi ya wimbo wake ‘Shake It Off’, atakiwa kulipa $42m

taylor-swift_press-2013-650

Staa wa Pop nchini Marekani, Taylor Swift anashtakiwa kwa kuiba mashairi ya wimbo wake wa mwaka 2014, Shake It Off na anatakiwa alipe dola milioni 42.

taylor-swift_press-2013-650

Muimbaji wa R&B, Jesse Braham, 50, anadai kuwa Swift aliiba maneno kutoka kwenye wimbo alioundika mwaka 2013 uitwao Haters Gone Hate.

Pamoja na kutaka alipwe kiasi hicho cha fedha kama fidia, Braham anataka jina lake liongezwe kama mwandishi wa wimbo huo. Wawakilishi wa Swift bado hawajajibu chochote kuhusiana na kesi hiyo.

Braham anasema...

 

10 years ago

Bongo5

Shakira ajifungua mtoto wa pili wa kiume, Sasha

Mwimbaji wa Colombia, Shakira (37) amejifungua mtoto wake wa pili wa kiume siku ya Alhamisi usiku huko Barcelona. Hit maker wa ‘Waka Waka’ pamoja na mzazi mwenzake mcheza mpira Gerard Piqué wamempatia jina la Sasha. Shakira, Grerald na mtoto wao wa kwanza Milan Kwa mujibu wa Daily Mail, Shakira na boyfriend wake walichukua floor nzima […]

 

10 years ago

Bongo5

Shakira na boyfriend wake Gerard Piqué wanatarajia kupata mtoto wa pili

Mwimbaji Shakira na boyfriend wake mcheza mpira Gerard Piqué wanatarajia kupata mtoto wa pili. Mwimbaji huyo wa Colombia amethibitisha habari hizo kupitia jarida la ‘Cosmopolitan Magazine’ Spanish version. Ni karibia miaka miwili sasa toka Shakira na Piqué wapate mtoto wa kwanza aitwaye Milan, aliyezaliwa January 22, 2013.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani