Mwanamke atuhumiwa kuiba ‘kichanga’
MKAZI wa Bunju B, Grace Chapanga(34), anashikiliwa na Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za wizi wa mtoto mchanga wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja. Kamanda wa Kanda hiyo, Kamishna wa Polisi Suleiman Kova alisema Chapanga alimuiba mtoto huyo, Veis Venus Desemba 27 mwaka jana katika maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Vijimambo28 Sep
Mwanamke atuhumiwa kuiba mtoto

Mwanamke mmoja mkazi wa Mchikichini, Mbagala jijini Dar es Salaam, Tatu Nyambwela (30) anashikiliwa na polisi baada ya kutuhumiwa kumuiba mtoto mchanga wa miezi mitatu.
Polisi pia inachunguza mtoto wake mwingine wa miaka sita anayeishi naye baada ya kudaiwa kuwa alimpata kwa njia ya udanganyifu.
Taarifa kutoka eneo hilo zinasema mwanamke huyo alikamatwa wiki...
11 years ago
BBCSwahili22 Aug
Shakira Atuhumiwa Kuiba Wimbo
11 years ago
Habarileo01 Feb
Msichana atuhumiwa kuiba mtoto
MKAZI wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Amina Mwasi (22), anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kuiba mtoto wa kiume mwenye umri siku moja. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema wizi huo ulifanyika Januari 19, mwaka huu katika Zahanati ya Thawi wilayani Kondoa.
11 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Adaiwa kuiba kichanga ili kulinda ndoa
JESHI la polisi mkoani Rukwa linamshikilia Magreth Juma (34), mkazi wa mtaa wa Chanji Manispaa ya Sumbawanga kwa tuhuma za wizi wa mtoto mchanga wa siku mbili. Mtuhumiwa huyo, alikamatwa...
11 years ago
Uhuru Newspaper03 Jul
Daktari atuhumiwa kuiba dawa Igunga
Na Abdallah Amiri, Igunga
MKUU wa wilaya ya Igunga, mkoani Tabora, Elibariki Kingu, ameiagiza polisi wilayani kwake, kumkamata mganga aliyeuza dawa katika zahanati iliyoko kata ya Sungwizi, wilayani Igunga.
Kingu alitoa agizo hilo jana, alipotembelea kata ya Sungwizi, katika ziara za kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Alisema alishangazwa na taarifa za wananchi kuwa zahanati katika kata ya Sungwizi haina dawa kutokana...
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Polisi Dar atuhumiwa kuiba mtoto Mbeya
11 years ago
Habarileo21 Mar
Mwanamke atupa kichanga chooni
WATOTO wawili wachanga wamekufa katika matukio mawili tofauti yaliyotokea mkoani hapa, likiwemo la mmoja kutupwa chooni na mama mzazi mara ya baada ya kuzaliwa.
9 years ago
BBCSwahili03 Jan
Chris Brown atuhumiwa kumpiga mwanamke
11 years ago
Habarileo27 Oct
Mwanamke adaiwa kuiba mtoto kulinda ndoa
POLISI mkoani Rukwa wanamshikilia mkazi wa kitongoji cha Chanji, Manispaa ya Sumbawanga, Magreth Juma (34) akituhumiwa kuiba mtoto wa kike mwenye umri wa siku mbili ili asiachike katika ndoa yake, kwa kuwa hajabahatika kumzalia mtoto mumewe.