Mwalimu Igunga atuhumiwa kutoroka na fedha za shule
MWALIMU Paulo Masabila wa shule ya sekondari Igunga wilayani hapa mkoani Tabora, anatafutwa na baadhi ya wazazi kwa tuhuma za kuondoka na fedha alizowachangisha akidai ni kwa ajili ya safari ya wanafunzi kwenye mbuga za wanyama.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper03 Jul
Daktari atuhumiwa kuiba dawa Igunga
Na Abdallah Amiri, Igunga
MKUU wa wilaya ya Igunga, mkoani Tabora, Elibariki Kingu, ameiagiza polisi wilayani kwake, kumkamata mganga aliyeuza dawa katika zahanati iliyoko kata ya Sungwizi, wilayani Igunga.
Kingu alitoa agizo hilo jana, alipotembelea kata ya Sungwizi, katika ziara za kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Alisema alishangazwa na taarifa za wananchi kuwa zahanati katika kata ya Sungwizi haina dawa kutokana...
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Mwalimu atuhumiwa kumbaka mwanafunzi
9 years ago
Mtanzania04 Jan
Mwalimu arejesha fedha za wanafunzi
Na Abdallah Amiri, Igunga
MWALIMU wa Shule ya Sekondari Igunga Day, mkoani Tabora, aliyedaiwa kuwachangisha wanafunzi wa kidato cha tatu zaidi ya Sh milioni 2.8 kwa ajili ya kwenda mbuga za wanyama Ngorongoro kujifunza, ameanza kurejesha fedha hizo.
Hatua hiyo imefikia hapo siku chache baada ya gazeti hili kuripoti juu ya mwalimu huyo, Paulo Msabila kukusanya kiasi hicho cha fedha.
Akizungumza na gazeti hili juzi Mkuu wa Shule hiyo, Nelson Edward alisema Mwalimu Msabila alionekana Desemba...
11 years ago
GPL11 years ago
GPL
MWALIMU SHULE YA MSINGI AMTIA MIMBA MWANAFUNZI WAKE
11 years ago
Dewji Blog25 Sep
Mwalimu wa kike shule ya Kigogo Dar auawa na mdogo wake
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU wawili mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti, likiwemo la Mwalimu wa shule ya msingi Kigogo jijini Dar-es-salaam, Hawa Idd (34) baada ya kuchomwa kisu sehemu mbalimbali za mwili wake na mdogo wake Ramadhan Iddi (24) anayedaiwa kuwa na matatizo ya akili.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela alisema tukio hilo limetokea Septemba 23 mwaka huu saa...
10 years ago
Michuzi
News alert: Watu sita akiwemo mwalimu wa shule ya msingi wakamatwa na mifupa ya albino Kahama
Taarifa zilizopatikana mjini Kahama zimeeleza kwamba, mwalimu huyo Bahati Kilungu Maziku (56), Msukuma na mkazi wa Mtaa wa Mbulu katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, amekamatwa akiwa na watu watano, wakiwemo waganga wa jadi watatu, katika harakati za kuuziana mifupa hiyo.Wengine waliokamatwa...
10 years ago
VijimamboManispaa ya Temeke imeteketeza kinyesi kilichokutwa katika chumba cha mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kibasila
Ama kweli ukistaajabu ya musa hakika utayaona ya firauni...na kuishi kwingi ni kuona mengi..hali kadhalika wahenga wanasema Tembea uyaone...Misemo hiyo mitatu inaweza kujidhihirisha kwa namna tofauti tofauti kupitia tukio la mkazi wa Jiji la Dar es salaam ambaye...
11 years ago
Habarileo23 Sep
Fedha za shule kutopelekwa halmashauri
SERIKALI sasa inatarajia kuanza utaratibu mpya wa kupeleka fedha za ruzuku katika shule za msingi na sekondari nchini moja kwa moja kwenye akaunti ya shule badala ya kupitia katika halmashauri. Hayo yamebainishwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.