Daktari atuhumiwa kulewa pombe kazini
Baadhi ya wagonjwa waliofika kupata huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Geita wameutaka uongozi kumtimua daktari mmoja (jina tunalihifadhi), kwa madai ya kufanya kazi za kitabibu akiwa amelewa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper03 Jul
Daktari atuhumiwa kuiba dawa Igunga
Na Abdallah Amiri, Igunga
MKUU wa wilaya ya Igunga, mkoani Tabora, Elibariki Kingu, ameiagiza polisi wilayani kwake, kumkamata mganga aliyeuza dawa katika zahanati iliyoko kata ya Sungwizi, wilayani Igunga.
Kingu alitoa agizo hilo jana, alipotembelea kata ya Sungwizi, katika ziara za kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Alisema alishangazwa na taarifa za wananchi kuwa zahanati katika kata ya Sungwizi haina dawa kutokana...
10 years ago
BBCSwahili16 May
Daktari wanaswa wakisinzia kazini
Je umewahi kushuhudia daktari akisinzia hospitalini ilihali wagonjwa wanasubiri huduma zake ?
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Idhini ya daktari kunywa pombe India
Licha ya jimbo la Gujarat India kupiga marufuku unywaji utengenezaji na unywaji pombe, takriban watu 60,000 wamepewa idhini ya kunywa pombe
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Nataka kulewa
Hii ni mara yangu ya kwanza kuingia baa na ninajikuta nikitumia zaidi ya sekunde sitini nikiangazaangaza ndani ya baa hiyo bila hata ya kujua ni sehemu gani nianzie. Baada ya kuhakikisha kuwa macho yangu yametazama kila kona ya baa hiyo niliamua kukifuata kiti kimoja kilichokuwa wazi karibu na kaunta. Nilifika hapo na kukaa huku pembezoni mwangu kukiwa na mwanamume mwingine ambaye kidogo alinishangaza kwani hakuwa akinywa kilevi na badala yake alikuwa akinywa...
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Nataka kulewa 2
Bila ya kupoteza muda nikaanza kumsimulia Bwana Edvin kisa kilichonikuta katika siku nzima ya leo hadi nikajikuta nikiishia baa. Naamini nimeshakusimulia na itakuwa ni upotezaji wa muda ikiwa nitaanza tena kukusimulia upya.
Nilitumia kama dakika tano na tayari nimekwisha msimulia Bwana Edvin kisa chote na nikaona uso wake ukiingiwa na hali fulani ya huruma juu yangu.
“Pole sana Bwana Roma kwa yaliyokukutaâ€. Aliniambia Edvin. Yameshatokea na hata nikipewa pole na dunia nzima...
10 years ago
Habarileo15 Dec
Madereva watakiwa kuacha kulewa
MADEREVA nchini wametakiwa kuzingatia sheria za barabarani, kutotumia vinywaji vyenye kilevi na kuacha tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (sms) wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XO38fqQ5MPY/VnMqe3N75GI/AAAAAAAINMI/nRAFxkRrhPc/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE KULEWA, KUTOKUWA NA AKILI TIMAMU NI KINGA BAADA YA KUTENDA JINAI
![](http://4.bp.blogspot.com/-XO38fqQ5MPY/VnMqe3N75GI/AAAAAAAINMI/nRAFxkRrhPc/s320/1.1774256.jpg)
Wote tunajua kuwa kila atendaye kosa sharti aadhibiwe. Na kuadhibiwa huko lazima kuwe kwa mujibu wa sheria. Pamoja na kuwa mtenda kosa hustahili adhabu bado watenda kosa hutofautiana hadhi. Hadhi hapa sio kuwa fulani ni mkuu wa mkoa au mkurugenzi na fulani ni mkulima wa kawaida kijijini Katanakya.
Hadhi ndio kama hizo zilizotajwa katika kichwa cha makala. Wapo watenda makosa lakini wakiwa na umri mdogo, wapo...
5 years ago
BBCSwahili03 Apr
Virusi vya corona: Mwanariadha wa Kenya Wilson Kipsang akamatwa kwa kulewa wakati wa amri ya kutotoka nje
Aliyekua bingwa wa mbio za marathon nchini Kenya Wilson Kipsang ameachiliwa kwa dhamana baada ya kushtakiwa kwa kukiuka amri ya kutotoka nje
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania