Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDOA YA WASANII WA KAOLE YAJIBU

Na Gladness Mallya
WASANII wa filamu zao la Kaole, Mariamu Athuman ‘Kalunde’ na Khely Ahmed ‘Niko’ ndoa yao imejibu ambapo hivi karibuni wamepata mtoto. Akizungumza na gazeti hili, Kalunde alisema ana furaha ya ajabu kufuatia kumpata mtoto wa kike na anamshukuru Mungu kwani alijifungua salama bila matatizo. Msanii wa filamu zao la Kaole, Mariamu Athuman ‘Kalunde’ akiwa na mwanae...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mr Blue anaamini ndoa kwa wasanii huvuta ‘neema’

blue (1)

Mr Blue amewaeleza wasanii wenzake ambao hawajaoa au kuolewa kuwa ndoa ni neema kubwa kimuziki hivyo watimize jambo hilo mapema.

Mr Blue Cover

Blue ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa wasanii wengi walio kwenye ndoa wanafanya vizuri.

“Inasikitisha vijana wengi wake kwa waume waliofikisha umri wa kuoa na wale wa kuolewa wanakwepa kutimiza ndoa wakihofu kupotea kimuziki lakini nawaeleza kwamba ndoa ina uhusiano mzuri na mafanikio ndio maana wengi waliooa wanafanya vizuri katika mambo yao,” alieleza Mr...

 

10 years ago

GPL

HIVI WASANII MTAKUWA NA UCHUMBA‭, ‬NDOA ZA MAIGIZO MPAKA LINI‭?‬

Kwenu mastaa wa tasnia mbalimbali Bongo‭, ‬habari zenu bwana‭. ‬Poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga taifa‭.‬
Mkitaka kujua afya yangu‭, ‬mimi ni mzima‭, ‬namshukuru Mungu naendelea kutimiza majukumu yangu‭, ‬likiwemo hili la kuwaandikia barua‭.‬ Nimewakumbuka leo kupitia barua‭, ‬nataka kuwaambia kwamba mimi pamoja na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Somalia yajibu uondoshaji wa huduma

Serikali ya Somalia imesema kuwa uamuzi wa benki moja nchini Marekani kufunga akaunti za fedha nchini Somalia utaathiri usalama

 

11 years ago

GPL

SANDRA AKUMBUSHIA MATESO YA KAOLE

Stori: Mayasa Mariwata
MUUZA sura wa sinema za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ ametoa dukuduku lake baada ya kuelezea mateso aliyopata kipindi alipokuwa anaanza kujihusisha na masuala ya sanaa katika Kundi la Kaole. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ Sandra aliliambia Ijumaa kuwa, mateso anayoyazungumzia ni yale ya kunyanyaswa na wasanii wenzake huku wakimfanyia vitimbi vya kila...

 

11 years ago

GPL

MSANII KAOLE AVUNJIKA MGONGO

Stori: Hamida Hassan
MSANII wa Kundi la Kaole Sanaa, Zaina Ramadhan ‘Nandi’ anasumbuliwa na ugonjwa wa mifupa akidai kuvunjika pingili za mgongo kisha kushindwa kutembea na kufanya kazi zake za sanaa na nyinginezo. Zaina Ramadhan ‘Nandi’. Akipiga stori na mwandishi wetu hivi karibuni, Nandi alisema kuwa alianza kuumwa baada ya kupata hitilafu mwaka 2012 alipokuwa akitoka Chuo cha Sanaa pale Lego,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake maaskofu? Tanzania yajibu

Kanisa la Anglikana Tanzania limesema bado kuna mawazo tofauti ya kithiolojia kuhusiana na wanawake kuwa maaskofu

 

11 years ago

GPL

Yanga yajibu mapigo ya Azam

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Abdallah Bin Kleb. Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya Azam kuipagawisha Yanga kwa kuwasajili nyota wake wawili Frank Domayo na Didier Kavumbagu, timu hiyo imejibu mapigo hayo kwa kumnasa bonge la mshambuliaji kutoka Ghana. Yanga imefikia hatua hiyo ili iweze kuimarisha safu yake ya ushambuliaji ambayo hivi karibuni ilipata pigo baada ya kukimbiwa na Kavumbagu aliyetua Azam kwa...

 

11 years ago

GPL

CHENI AIKUMBUKA KAOLE, KUIRUDISHA!

Stori: Shani Ramadhani
MWENYEKITI Msaidizi wa Bongo Movie Unity, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ amesema amekumbuka na kutamani kurudisha Kundi la Sanaa ya Maigizo la Kaole ‘Kaole Sanaa Group’ liwe na nguvu kama zamani. Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’. Dk. Cheni alisema japo kundi hilo limeonekana kupoteza mvuto wake wa awali, lakini anaamini wasanii wengi wanaofanya vizuri kwenye tasnia ya filamu...

 

10 years ago

Michuzi

MSANII WA KUNDI LA KAOLE AFARIKI DUNIA

MSANII wa maigizo aliekuwa kwenye Kundi la Kaole,Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ (pichani) amefariki dunia siku ya Alhamis akiwa nyumbani kwake Yombo Reli,Kiwalani na baadae mwili wake kwenda kuhifadhiwa Hospitali ya Amana,Ilala jijini Dar es salaam.
Taarifa za msiba huo zilitolewa jana na Watoto wa Marehemu kwa ndugu na majirani wa eneo hilo,huku tetesi zikienea kwamba wamefanya hivyo ili kukwepa aibu kwa majirani kutokana na nyumba aliyokuwa akiishi mama yao huyo kuwa ni chakavu,hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani