Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yajibu mapigo ya Azam

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Abdallah Bin Kleb. Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya Azam kuipagawisha Yanga kwa kuwasajili nyota wake wawili Frank Domayo na Didier Kavumbagu, timu hiyo imejibu mapigo hayo kwa kumnasa bonge la mshambuliaji kutoka Ghana. Yanga imefikia hatua hiyo ili iweze kuimarisha safu yake ya ushambuliaji ambayo hivi karibuni ilipata pigo baada ya kukimbiwa na Kavumbagu aliyetua Azam kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

HATIMAYE AZAM YAJIBU MAPIGO YA YANGA

AZ Azam FC wameshinda mechi ya tatu mfululizo ya kirafiki visiwani Zanzibar baada ya usiku huu kuichakaza 2-0 JKU ya visiwani humo. Magoli ya Azam yamefungwa na John Raphael Bocco ‘Adebayor’ na  Salum Abubakar ‘sure Boy’. Azam wanaojiandaa na mechi ya Ngao ya Jamii itayochezwa Agosti 22 uwanja wa Taifa, walianza kwa kushinda 1-0 dhidi ya KMKM, wakainyuka 3-0 Mafunzo, michezo yote ikipigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Mabingwa hao wa Afrika Mashariki na kati wamejibu mapigo kwa Yanga ambao nao...

 

10 years ago

Vijimambo

Kiiza ajibu mapigo Yanga

HAMISI Kiiza jana alituma salamu kwa Yanga baada ya kuifungia Simba mabao matatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Hizo ni salamu kwa Yanga kupitia mchezaji wake huyo wa zamani kwani watani hao wa jadi Jumamosi watamenyana kwenye uwanja huo.

Yanga juzi iliifunga JKT Ruvu mabao 4-1 na kufikisha pointi tisa, sawa na Simba zikiwa zimetofautiana uwiano wa mabao. Mechi hiyo ilianza kwa kushambuliana kwa zamu na Kiiza...

 

10 years ago

Habarileo

Ni Yanga na Azam

MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.

 

10 years ago

GPL

Yanga yaivurugia Azam

Wachezaji wa Yanga, wakishangilia goli. Na Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
YANGA leo Jumamosi inacheza na Mgambo JKT katika Ligi Kuu Bara, lakini imeonyesha jeuri ya fedha kwa kumuweka katika mawindo yake beki wa kushoto Samir Nuhu ambaye Azam FC ilikuwa katika mpango mkali wa kumrudisha kundini. Nuhu, kabla ya kuumia goti hivi karibuni na kupelekwa India kufanyiwa upasuaji, alikuwa akiitumikia Azam vizuri lakini tangu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam na Yanga zinamatumaini

Baada ya kuanza vema mechi zao za michuano ya vilabu barani Afrika, makocha wa wawakilishi wa Tanzania, Azam FC na Yanga wamesema wana matumaini ya kusonga mbele.

 

10 years ago

Habarileo

Yanga, Azam ni kifo

YANGA leo inaikaribisha Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaoamua nani akalie kiti cha uongozi wa ligi hiyo inayoshirikisha jumla ya timu 16.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga waikataa Azam Tv

Wanachama wa Yanga wameikataa Azam Tv kurusha mechi zao na kuwataka viongozi wao kuipeleka mahakamani kama itakaidi na kuendelea kurusha mechi za Yanga bila idhini ya klabu hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Yanga, Azam usihadithiwe

AZAM FC ina kibarua kigumu cha kufuta uteja kwa Yanga katika mechi za Ngao ya Jamii wakati zitakapomenyana leo katika mechi ya kufungua msimu wa 2015-16 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani