HATIMAYE AZAM YAJIBU MAPIGO YA YANGA
Azam FC wameshinda mechi ya tatu mfululizo ya kirafiki visiwani Zanzibar baada ya usiku huu kuichakaza 2-0 JKU ya visiwani humo.
Magoli ya Azam yamefungwa na John Raphael Bocco ‘Adebayor’ na Salum Abubakar ‘sure Boy’.
Azam wanaojiandaa na mechi ya Ngao ya Jamii itayochezwa Agosti 22 uwanja wa Taifa, walianza kwa kushinda 1-0 dhidi ya KMKM, wakainyuka 3-0 Mafunzo, michezo yote ikipigwa uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mabingwa hao wa Afrika Mashariki na kati wamejibu mapigo kwa Yanga ambao nao...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3e3nCI2yr4VZ4Ez1*-q0RQvlNQjeVfYxTw0hh6Q1q5VqaREW2rZ7tzljvy0FlY9KlPD0jfgjhjwg7zMVpi47Idl/ww.gif?width=650)
Yanga yajibu mapigo ya Azam
9 years ago
Vijimambo21 Sep
Kiiza ajibu mapigo Yanga
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/HAMISI-KIIZA.jpg?width=650)
Yanga juzi iliifunga JKT Ruvu mabao 4-1 na kufikisha pointi tisa, sawa na Simba zikiwa zimetofautiana uwiano wa mabao. Mechi hiyo ilianza kwa kushambuliana kwa zamu na Kiiza...
9 years ago
Habarileo03 Nov
Ni Yanga na Azam
MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.
9 years ago
Habarileo05 Jan
Yanga, Azam ni vita
MIAMBA ya Ligi Kuu Bara, Yanga na Azam leo itashuka kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa kumenyana katika mechi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. Mechi hiyo inatarajiwa kuwa ya vuta nikuvite huku kila timu ikitaka kuonesha ubabe kwa mwenzie baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 katika mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu bara mwaka jana.
10 years ago
TheCitizen29 Jul
Azam stand in Yanga’s way
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
Yanga, Azam FC kitaeleweka
MICHUANO ya soka Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame inayoendelea jijini Dar
Abdul Mkeyenge
10 years ago
Habarileo30 Jul
Azam yaizima Yanga
AZAM FC jana ilimaliza ubabe wa Yanga katika michuano ya Kombe la Kagame baada ya kuibuka na ushindi wa penalti 5-4 katika mchezo wa robo fainali uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo30 Jul
Yanga, Azam patachimbika
YANGA na Azam zinakutana leo kwenye mechi ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Kagame katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.