Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Somalia yajibu uondoshaji wa huduma

Serikali ya Somalia imesema kuwa uamuzi wa benki moja nchini Marekani kufunga akaunti za fedha nchini Somalia utaathiri usalama

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Huduma za Posta zarejeshwa Somalia

Serikali ya Somalia imezindua huduma yake ya kwanza ya posta katika kipindi cha zaidi ya miongo miwili nchini kote.

 

10 years ago

BBCSwahili

Benki ya Marekani yafunga huduma Somalia

Benki moja nchini Marekani inayoshughulikia asilimia themanini ya fedha zinazotumwa nchini Somalia itafunga huduma yake Ijumaa

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake maaskofu? Tanzania yajibu

Kanisa la Anglikana Tanzania limesema bado kuna mawazo tofauti ya kithiolojia kuhusiana na wanawake kuwa maaskofu

 

11 years ago

GPL

NDOA YA WASANII WA KAOLE YAJIBU

Na Gladness Mallya
WASANII wa filamu zao la Kaole, Mariamu Athuman ‘Kalunde’ na Khely Ahmed ‘Niko’ ndoa yao imejibu ambapo hivi karibuni wamepata mtoto. Akizungumza na gazeti hili, Kalunde alisema ana furaha ya ajabu kufuatia kumpata mtoto wa kike na anamshukuru Mungu kwani alijifungua salama bila matatizo. Msanii wa filamu zao la Kaole, Mariamu Athuman ‘Kalunde’ akiwa na mwanae...

 

11 years ago

GPL

Yanga yajibu mapigo ya Azam

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Abdallah Bin Kleb. Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya Azam kuipagawisha Yanga kwa kuwasajili nyota wake wawili Frank Domayo na Didier Kavumbagu, timu hiyo imejibu mapigo hayo kwa kumnasa bonge la mshambuliaji kutoka Ghana. Yanga imefikia hatua hiyo ili iweze kuimarisha safu yake ya ushambuliaji ambayo hivi karibuni ilipata pigo baada ya kukimbiwa na Kavumbagu aliyetua Azam kwa...

 

9 years ago

StarTV

HATIMAYE AZAM YAJIBU MAPIGO YA YANGA

AZ Azam FC wameshinda mechi ya tatu mfululizo ya kirafiki visiwani Zanzibar baada ya usiku huu kuichakaza 2-0 JKU ya visiwani humo. Magoli ya Azam yamefungwa na John Raphael Bocco ‘Adebayor’ na  Salum Abubakar ‘sure Boy’. Azam wanaojiandaa na mechi ya Ngao ya Jamii itayochezwa Agosti 22 uwanja wa Taifa, walianza kwa kushinda 1-0 dhidi ya KMKM, wakainyuka 3-0 Mafunzo, michezo yote ikipigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Mabingwa hao wa Afrika Mashariki na kati wamejibu mapigo kwa Yanga ambao nao...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yajibu pingamizi la utekelezaji wa maazimio ya Bunge

SERIKALI imewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kupinga utekelezaji wa maazimio manane ya Bunge kuhusu sakata la akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Michuzi

TFF YAJIBU SHUTUMA ZILIZOTOLEWA NA WAKILI NDUMBARO DHIDI YAKE

Oktoba 31 mwaka huu kupitia vyombo vya habari Wakili Damas Ndumbaro alitoa shutuma mbalimbali dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Tunapenda kuueleza umma wa Watanzania yafuatayo;
1.Hukumu dhidi ya Wakili Ndumbaro ilitolewa na chombo halali kwa mujibu wa Katiba ya TFF. Hivyo, TFF inatoa tahadhari kwa wanafamilia wa mpira wa miguu kutomhusisha Wakili Ndumbaro katika masuala ya mpira wa miguu katika kipindi hiki anachotumikia adhabu.
2.Hadi sasa TFF haijapokea rufani yoyote...

 

10 years ago

Dewji Blog

Live huyu hapa Ngeleja: Hotuba yake yajibu maswali mengi ya wananchi

Mbio za Uraisi

Mbunge wa Jimbo la Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja amekanusha taarifa za kukutwa na tuhuma za ufisadi uliopelekea kuvuliwa uwaziri.

Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi nia ya kuwania urais, Ngeleja amesema wananchi wengi wamekuwa wakidhani kuwa aliondolewa katika wadhifa huo kwa kutumia madaraka vibaya jambo ambalo si sahihi.

Ameongeza utaratibu uliofanyika kumuondoa ni utaratibu wa kawaida na kuwa unaweza kutumika hata bila ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani