MSANII WA KUNDI LA KAOLE AFARIKI DUNIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-TAwaEl4B-eI/VNc5jE1QaPI/AAAAAAAHCc0/0H0fIZXcqhc/s72-c/IMG20150207WA0022.jpg)
MSANII wa maigizo aliekuwa kwenye Kundi la Kaole,Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ (pichani) amefariki dunia siku ya Alhamis akiwa nyumbani kwake Yombo Reli,Kiwalani na baadae mwili wake kwenda kuhifadhiwa Hospitali ya Amana,Ilala jijini Dar es salaam.
Taarifa za msiba huo zilitolewa jana na Watoto wa Marehemu kwa ndugu na majirani wa eneo hilo,huku tetesi zikienea kwamba wamefanya hivyo ili kukwepa aibu kwa majirani kutokana na nyumba aliyokuwa akiishi mama yao huyo kuwa ni chakavu,hivyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo21 Oct
Yesaya Ambilikile YP msanii wa kundi la TKM afariki dunia
![](http://api.ning.com/files/NDILiAzzLEVj*hhv1NsbmNzz5dzbOf0IVJZXjl4cTv3fRyVPHjZTHRovEHd9nb192bnt4zQlKXtCWB1j5JTI9YUtphUtkrB1/6.jpg?width=650)
Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family,Yesaya Ambilikile ‘ Y- P’(kulia kwenye picha) amefariki dunia usiku wa jana katika hospitali ya Temeke baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa kifua.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tlB4pKQX5mh9yuJoZ1RrMwanUWTUugXH1rsEyFIIDH5rU-uuFJb8D5rui5O-dk7*sV19JYiUkFhnmJMG5glWUUp5T6gk7bya/LadiesCode.jpg)
RISE WA KUNDI LA LADIES' CODE AFARIKI DUNIA
10 years ago
CloudsFM21 Oct
MSANII YP AFARIKI DUNIA
Msanii aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Meneja wa kundi hilo Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.
10 years ago
CloudsFM30 Oct
MSANII MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA
MSANII wa filamu za Kibongo, Mzee Manento amefariki dunia jana jioni kiwa jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa moyo.
Mzee Manento atakumbukwa katika filamu alizocheza kama 'Hero of the Church', 'Dar to Lagos', 'Fake Pastor' na nyinginezo.
10 years ago
Bongo Movies23 Dec
Kundi La Sanaa La Kaole Limerudi Tena Na Jina Jipya
Kundi kongwe la sanaa ya uigizaji na ngoma lililotoa vipaji vingi vya uigizaji hapa nchini, Kundi la Sanaa la Kaole “Kaole Sanaa Group” limerudi ila sasa kwa jina lingine..habari kamili ametueleza hapa, Halima Yahya “DAVINA”moja kati ya waliokuwa kaole na sasa wameasisi hii kaone, anasema;
"Wapenzi wetu wa tamthilia na filamu za kibongo...mimi km mimi nimekua nikipokea maoni ya watu wengi hapa na hata mikoani kwamba wamemiss tamthilia zetu za zamani zilizokua zimejaa maadili na mafundisho...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Msanii mwingine Bongo Movie afariki dunia
IKIWA zimepita siku chache tangu msiba wa mwigizaji na muongozaji filamu za Kibongo, Adam Kuambiana, mwigizaji mwingine, Rachel Haule ‘Recho’, amefariki dunia jana asubuhi. Inaelezwa kifo cha Recho kimesababishwa na...
10 years ago
Vijimambo20 Feb
MSANII MEZ B AFARIKI DUNIA LEO DODOMA
![](http://api.ning.com/files/cGEsfZahF3v21JSeEu73srVOoCxhPMpPVIAO*sxCvpifgZaBCdfCdBsuE86Gi9bsXA17BQz5hjFBex1zjYHksFZA7-bcP1jm/MezB1.jpg?width=650)
5 years ago
Bongo514 Feb
Msanii mkongwe Cuba Gooding Sr afariki dunia
Mwanamuziki na muigizaji kutoka Marekani, Cuba Gooding Sr amefariki dunia jana akiwa na umri wa miaka 72.
Mzee huyo ambaye ni baba wa muigizaji Cuba Gooding Jr amedaiwa kukutwa amefariki na kikosi cha moto akiwa katika gari lake lililokuwa limepaki pembezoni mwa barabara huko Woodland Hills, California.
Kwa mujibu wa taarifa za polisi, chanzo cha kifo hicho kimetokana na marehemu kuzidisha dawa ambapo kasha la dawa hizo lilikutwa kwenye gari lake likiwa tupu.
Picha ya gari la Cuba Gooding...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MSANII WA BONGO FLEVA SIDE MNYAMWEZI AFARIKI DUNIA