Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kundi La Sanaa La Kaole Limerudi Tena Na Jina Jipya

Kundi kongwe la sanaa ya uigizaji na ngoma lililotoa vipaji vingi vya uigizaji hapa nchini, Kundi la Sanaa la Kaole “Kaole Sanaa Group” limerudi ila sasa kwa jina lingine..habari kamili ametueleza hapa, Halima Yahya “DAVINA”moja kati ya waliokuwa kaole na sasa wameasisi hii kaone, anasema;

"Wapenzi wetu wa tamthilia na filamu za kibongo...mimi km mimi nimekua nikipokea maoni ya watu wengi hapa na hata mikoani kwamba wamemiss tamthilia zetu za zamani zilizokua zimejaa maadili na mafundisho...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MSANII WA KUNDI LA KAOLE AFARIKI DUNIA

MSANII wa maigizo aliekuwa kwenye Kundi la Kaole,Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ (pichani) amefariki dunia siku ya Alhamis akiwa nyumbani kwake Yombo Reli,Kiwalani na baadae mwili wake kwenda kuhifadhiwa Hospitali ya Amana,Ilala jijini Dar es salaam.
Taarifa za msiba huo zilitolewa jana na Watoto wa Marehemu kwa ndugu na majirani wa eneo hilo,huku tetesi zikienea kwamba wamefanya hivyo ili kukwepa aibu kwa majirani kutokana na nyumba aliyokuwa akiishi mama yao huyo kuwa ni chakavu,hivyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Moja ya zao Kaole Sanaa Group, Limekua Tunaliona!!

Mrembo na mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu”ni moja kati ya waigizaji wachache wa hapa bongo ambao wamekulia na kuijua sanaa ya kuigiza toka akiwa binti mdogo.

Shukrani na sifa zote ziwaendee Kaole Sanaa Group ambao ndio waliomlea kisanaa na kumpa nafasi kuonyesha uwezo wake na kufanya watanzania wengi kumfahamu tangu akiwa mtoto mdogo.

Mbali na mambo yake mengi lakini ukweli ni kwamba Lulu leo amekuwa hapo alipo kwa sababu ya uwezo wake tofauti na waigizaji wengi wakike ambao walipata...

 

5 years ago

BBCSwahili

India: Gumzo la mwanamke anapokuwa kwenye hedhi limerudi tena mitandaoni

India wanafunzi wa chuo wamelazimishwa kuvua nguo zote kukaguliwa kama wako kwenye hedhi au la

 

9 years ago

Michuzi

Tamasha la Karibu Music Bagamoyo Limerudi Tena Sasa ni tarehe 6,7 na 8 Novemba, 2015

 Baada ya mafanikio makubwa 2014, tamasha kubwa la muziki Karibu Music Festival lifanyikalo kila mwaka limerudi tena mwaka huu kwa kishindo kikubwa Novemba hii tarehe 6, 7 na 8.Tamasha la Karibu Music Festival hufanyika kwa mfululizo wa siku 3 na litafanyika kwenye viwanja vya Mwakalinga Bagamoyo karibu kabisa na ufukwe wa bahari ya Hindi.

Mambo mazuri kwenye tamasha hili ni mchanganyiko wa mziki, utamaduni , michezo mbali mbali kutoka kwa wasanii mbali mbali watokao barani Asia, Ulaya ,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kundi jipya la kuelimisha wanawake Tanzania

Kundi jipya la Feminista Club jijini Dar es Salaam limeamua kuwakutanisha wanawake kutazama filamu, kujielimisha na kusaidiana.

 

9 years ago

Bongo5

Quick Rocka aanzisha kundi jipya la muziki ‘One G’

_K0A2053

Quick Rocka ameanzisha kundi jipya liitwalo ‘One G.’

_K0A2053

Amesema kundi hilo litakuwa chini ya label yake, Switch.

“Kubwa zaidi 2016 ni ujio wa kundi la wasanii wangu One G kupitia record label yangu Switch na producer wangu Luffa,” aliiambia Bongo5.

“Kwahiyo mwaka unaokuja tutaanza nao kwa sababu tayari wana ngoma yao mpya pamoja na video. Lengo letu ni kupeleka muziki mbele na kuleta ushindani mpya kwenye muziki na wasanii wachanga watoke,” alisema.

Hata hivyo Quick amesema ujio wa kundi hilo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Somalia:Alshabaab lapewa jina jipya

Utawala nchini Somalia umeviamrisha vyombo vya habari nchini humo kulipa kundi la wanamgambo wa Al Shaabab jina mpya.

 

10 years ago

Bongo Movies

Rose Ndauka:Jina langu Jipya ni Bakita

Kwasasa akiwa katika utengenezaji wa filamu mpya ambayo inafanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment, Mwigizaji Rose Ndauka aliandika mtandaaoni kwa kifupi kuwa jina lake jipya ni Bakita.

“My new name it's Bakita#new”

Swala liliowaacha mashabiki wengi kubaki na  maswali mengi juu  nini hasa kimemfanya awe na jina jipya.

Rose Ndauka hivi karibuni alionekana akiwa Location na mwigizaji na muongozaji wa filamu Richie, na kuahidi kazi mpya na kali inafanyika na hivyo mashabiki wakae...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus imepewa jina jipya rasmi -Covid-19, yasema WHO

Watafiti wamekuwa wakitoa wito wa kupewa jina rasmi virusi vya corona ili kuepusha mkanganyiko juu ya virusi hivyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani