Moja ya zao Kaole Sanaa Group, Limekua Tunaliona!!
Mrembo na mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu”ni moja kati ya waigizaji wachache wa hapa bongo ambao wamekulia na kuijua sanaa ya kuigiza toka akiwa binti mdogo.
Shukrani na sifa zote ziwaendee Kaole Sanaa Group ambao ndio waliomlea kisanaa na kumpa nafasi kuonyesha uwezo wake na kufanya watanzania wengi kumfahamu tangu akiwa mtoto mdogo.
Mbali na mambo yake mengi lakini ukweli ni kwamba Lulu leo amekuwa hapo alipo kwa sababu ya uwezo wake tofauti na waigizaji wengi wakike ambao walipata...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies23 Dec
Kundi La Sanaa La Kaole Limerudi Tena Na Jina Jipya
Kundi kongwe la sanaa ya uigizaji na ngoma lililotoa vipaji vingi vya uigizaji hapa nchini, Kundi la Sanaa la Kaole “Kaole Sanaa Group” limerudi ila sasa kwa jina lingine..habari kamili ametueleza hapa, Halima Yahya “DAVINA”moja kati ya waliokuwa kaole na sasa wameasisi hii kaone, anasema;
"Wapenzi wetu wa tamthilia na filamu za kibongo...mimi km mimi nimekua nikipokea maoni ya watu wengi hapa na hata mikoani kwamba wamemiss tamthilia zetu za zamani zilizokua zimejaa maadili na mafundisho...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gH7eSDc9r-w/VCROYu9m0MI/AAAAAAAGlzI/WP4egFUiDMw/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
UTANDAWAZI GROUP KUNOGESHA TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO
KUNDI maalufu la ngoma asili la Utandawazi Theater Group ‘Matwigachallo’ jioni ya kesho wanatarajiwa kuwasha moto wa aina yake kwenye tamasha la Kimataifa la 33 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, lililoanza Septemba 22 mwaka huu kwenye viunga vya chuo hicho.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa tamasha hilo, Abmic am Bafadhil ‘Bura’ alieleza kuwa, kundi hilo ambalo kwa sasa limejizolea umaalufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, linatarajiwa kutoa burudani ya ngoma za asili...
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
MIALE SANAA GROUP: Wakali wanaokuja sokoni na ‘990 Wamekufa’
KUTOKANA na maisha kuwa na changamoto nyingi kwa sasa, vijana wengi wameanza kutafuta njia mbadala katika kuingiza kipato cha kukabiliana na ugumu wa changamoto hizo za maisha. Moja ya fani...
9 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA KIRUMBA SANAA GROUP JIJINI MWANZA AUNGANA NA KAMPENI YA "PIGA KURA, EPUKA KULA".
Maduwa ambae pia ni Mshereheshaji (Mc Katumba) na Mtangazaji wa 99.4 Radio Metro Fm, ameungana na Binagi Media Group katika Kampeni yake ya Kuwahamasisha Watanzania waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura kujitokeza kwa wingi katika kuwachagua viongozi bora wa kuwatumikia na si bora viongozi ambao wakati mwingine huchaguliwa...
10 years ago
GPLNaibu Waziri Mhe. January Makamba azindua Kundi la Kaone Sanaa Group Dar Live
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cvXypiP2TGo/VAG9EtQkf7I/AAAAAAAGWbw/EB1yzbi8Gu0/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
MASHIRIKISHO YA SANAA NCHINI YATUA BUNGE LA KATIBA KUFUKUZIA HOJA ZAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-cvXypiP2TGo/VAG9EtQkf7I/AAAAAAAGWbw/EB1yzbi8Gu0/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
10 years ago
GPLWASANII WAKONGWE WAPANIA KUFANYA KUFURU KATIKA UZINDUZI WA KAONE SANAA GROUP NDANI YA DAR LIVE
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ex1tb59m_Zk/VGbrppMeyFI/AAAAAAAGxUc/KX6jFKbP1TQ/s72-c/basata_logo.jpg)
BASATA LAWATAKA WAANDAAJI WA MASHINDANO/MATUKIO YA SANAA KUZINGATIA KANUNI NA TARATIBU ZAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-ex1tb59m_Zk/VGbrppMeyFI/AAAAAAAGxUc/KX6jFKbP1TQ/s1600/basata_logo.jpg)
Pia,amewataka waandaaji wa mashindano na matamasha katika vitongoji kuwa makini katika kusimamia taratibu kwani ndiyo wanaoandaa washiriki ambao baadaye wanakuja kushiriki kwenye ngazi ya...
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Wafanyakazi TBL Group waadhimisha Siku ya UKIMWI duniani kwa kupima afya zao
Mfanyakazi wa Kampuni ya TBL; kiwanda cha kuzalisha pombe kinywaji aina ya Chibuku kilichopo Ubungo Dar es Salaam,Reocatus Hanania akipewa ushauri nasaha na akimsikiliza mtoa ushauri nasaha kutoka Kampuni ya bima ya Afya ya Metropolitan; Aurelia Kanambi kabla ya kupima Virusi vya Ukimwi ikiwa ni sehemu ya maadhimishao ya siku ya Ukimwi Duniani. TBL kila mwaka ambapo Kampuni ya kutengezea bia (TBL) hiyo kila mwaka huadhimisha siku hiyo kwa kualika wataalamu wa afya kwa ajili ya kutoa...