Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSANII MEZ B AFARIKI DUNIA LEO DODOMA

Msanii wa Chemba Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ enzi za uhai wake.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JUST IN: MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA,MEZ B AFARIKI DUNIA LEO

Taarifa iliyotufikia mapema leo,inaeleza kuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la ‘Chamber Squad’, Moses Bushagama ‘Mez B’, amefariki dunia leo asubuhi huko Mkoani Dodoma baada ya kusumbuliwa na Homa ya mapafu kwa muda mrefu. Taarifa ya kifo cha Mez B zimethibitishwa na mama yake mzazi, na kwamba alikuwa amelazwa kwenye Hospitali ya Mwananchi.
Mez B amewahi kulazwa na kuruhusiwa mara kadhaa katika hospitali ya Dodoma na hivi karibuni alizidiwa na kulazwa mkoani humo mpaka umauti...

 

10 years ago

GPL

MEZ B AFARIKI DUNIA LEO DODOMA

Msanii wa Chemba Squad, Moses Bushagama  ‘Mez B’ enzi za uhai wake. MSANII wa Chemba Squad, Moses Bushagama  ‘Mez B’ amefariki leo saa nne asubuhi mkoani Dodoma ambapo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pneumonia.…

 

10 years ago

CloudsFM

Mez B afariki Dunia

Msanii wa Bongo Fleva,Mez B amefariki dunia muda mfupi uliopita huko mjini Dodoma - Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi! - Taarifa zaidi zitakujia kadri tutakavyozipokea!

 

10 years ago

Vijimambo

MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA LEO

Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ enzi za uhai wake.Mtoto wa marehemu Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’Waombolezaji wakiwa wenye nyuso za simanzi.Bi Mwenda akiwa msibani leo.

 

10 years ago

GPL

MSANII WA KOMEDI ‘DIFENDA’ AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO

Fadhili Nolidondi ‘Difenda’ enzi za uhai wake. MSANII wa komedi aliyejipatia sifa katika filamu za Mchawi Pesa, Yamini, Saa Mbovu, Kikaango na nyingine nyingi, Fadhili Nolidondi ‘Difenda’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili jijini Dar. Katibu wa Chama cha Komedi Tanzania, Neto Nazaleth amethibitisha msiba huo na kusema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na figo, ini...

 

10 years ago

Bongo5

Muimbaji wa Chamber Squad Mez B afariki dunia

Muimbaji wa kundi la Chamber Squad, Maze B, amefariki leo saa nne asubuhi, kwa mujibu wa mtu aliyekuwa akimuuguza. Msanii huyo aliyewahi kufanya vyema na wimbo wake ‘Fikiria’ alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Mwananchi mjini Dodoma. Mez B aliyezaliwa kwa jina la Moses Bushagama alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Pneumonia. Hivi karibuni aliongea na E-News […]

 

10 years ago

GPL

TANZIA: MSANII MKONGWE WA FILAMU, MZEE KANKAA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO JIONI

Marehemu Juma Ally Salim ‘Mzee Kankaa’ enzi za uhai wake. MSANII mkongwe wa filamu nchini, Juma Ally Salim ‘Mzee Kankaa’ amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake Tandale jijini Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi kwa muda mrefu. Mwili wa Mzee Kankaa unatarajiwa kuzikwa leo saa 10 jioni katika makaburi ya Ali Maua jijini Dar es Salaam. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na...

 

10 years ago

GPL

MSANII 'MAMA MASHAKA' AFARIKI DUNIA LEO

Waombolezaji wakiwa wenye nyuso za simanzi. Bi Mwenda akiwa msibani leo. Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ enzi wa uhai wake.…

 

10 years ago

Mtanzania

Mez B kuzikwa Dodoma leo

Mez-BNA RAMADHAN HASSAN, DODOMA

MWILI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Moses Bushagama ‘Mez B’, unatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya wahanga wa treni, Mailimbili mkoani hapa.

Mez B alifariki dunia Ijumaa ya wiki iliyopita, mjini hapa wakati akiwaishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akidaiwa kuugua ugonjwa wa Pneumonia.

Akizungumza na MTANZANIA jana mjini hapa, mama mzazi wa marehemu, Merry Katambi, alisema mwanaye atazikwa leo katika makaburi hayo ya wahanga wa treni.

Alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani