MEZ B AFARIKI DUNIA LEO DODOMA
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Msanii wa Chemba Squad, Moses Bushagama  ‘Mez B’ enzi za uhai wake. MSANII wa Chemba Squad, Moses Bushagama  ‘Mez B’ amefariki leo saa nne asubuhi mkoani Dodoma ambapo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pneumonia.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo20 Feb
MSANII MEZ B AFARIKI DUNIA LEO DODOMA
![](http://api.ning.com/files/cGEsfZahF3v21JSeEu73srVOoCxhPMpPVIAO*sxCvpifgZaBCdfCdBsuE86Gi9bsXA17BQz5hjFBex1zjYHksFZA7-bcP1jm/MezB1.jpg?width=650)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4kob-ACIQRY/VOccIZLTLUI/AAAAAAAHEw0/NKJcUiVLn8U/s72-c/MEZ-B2.jpg)
JUST IN: MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA,MEZ B AFARIKI DUNIA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-4kob-ACIQRY/VOccIZLTLUI/AAAAAAAHEw0/NKJcUiVLn8U/s1600/MEZ-B2.jpg)
Mez B amewahi kulazwa na kuruhusiwa mara kadhaa katika hospitali ya Dodoma na hivi karibuni alizidiwa na kulazwa mkoani humo mpaka umauti...
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Mez B afariki Dunia
10 years ago
Bongo520 Feb
Muimbaji wa Chamber Squad Mez B afariki dunia
10 years ago
Mtanzania23 Feb
Mez B kuzikwa Dodoma leo
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MWILI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Moses Bushagama ‘Mez B’, unatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya wahanga wa treni, Mailimbili mkoani hapa.
Mez B alifariki dunia Ijumaa ya wiki iliyopita, mjini hapa wakati akiwaishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akidaiwa kuugua ugonjwa wa Pneumonia.
Akizungumza na MTANZANIA jana mjini hapa, mama mzazi wa marehemu, Merry Katambi, alisema mwanaye atazikwa leo katika makaburi hayo ya wahanga wa treni.
Alisema...
10 years ago
CloudsFM23 Feb
Mez B kuzikwa leo kwenye makaburi ya Wahanga,Dodoma
ALIYEKUWA memba wa kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ ambaye alifariki Ijumaa iliyopita mjini Dodoma anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Wahanga yaliopo Maili Mbili mjini Dodoma.
Mama Mzazi wa aliyekuwa Msanii wa Kizazi Kipya Marehemu Mez B ameelezea Sababu ya Kifo cha Mez B kwamba ni Ugonjwa wa Pneumonia ambao ulikuwa unamumbua siku nyingi.
Katika Taarifa ya Mama Mzazi wa Mez B amesema kuwa Mez B alilazwa na Kuruhusiwa Mara Kadhaa katika Hospitali ya Mwananchi Dodoma na...
10 years ago
Mwananchi22 Jul
Mbunge afariki dunia Dodoma
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bfQ6C0f-VWY/XrjaMMEDU3I/AAAAAAALptU/T0xL7I3jWrQWpBOOSQQ_NDY-hOz_V9rFgCLcBGAsYHQ/s72-c/09ea8331-a60f-4d91-8a99-b850db8ead02-768x985.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/--I-WgyfTC4M/Va5jYKYvsvI/AAAAAAAHq44/gDdQFM9pZ6E/s72-c/AjIAv7YkabUHMTga0gOJVX6s1z2Uv7PusctR1jFGWcSa.jpg)
BREAKING NYUZZZZZZ......: Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoani Dodoma afariki dunia
![](http://1.bp.blogspot.com/--I-WgyfTC4M/Va5jYKYvsvI/AAAAAAAHq44/gDdQFM9pZ6E/s640/AjIAv7YkabUHMTga0gOJVX6s1z2Uv7PusctR1jFGWcSa.jpg)
Mungu aiweke Roho yake mahala pema Peponi
-Amin.