Huku akipambana Tunisia majambazi waiba gari...
![](http://api.ning.com:80/files/ve0GOSCWJaiM1s2U4gAp-D*6tTkyaL5Fom8IQreFcfefmpMDuaVRpH3OJtMeBoDZDqi8TrO*10sY1w2vGALImjs1lbO4DbL*/FRONT.jpg?width=650)
Kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’. Wilbert Molandi,Dar es Salaam WATU wanaodaiwa kuwa ni majambazi, wameiba gari la kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’, aina ya Toyota Carina SI lenye namba za usajili T 224 CXR. Akizungumza na Championi Jumatano, Barthez alisema kuwa gari hilo liliibiwa usiku wa kuamkia Ijumaa iliyopita wakati yeye akiwa safarini akielekea Tunisia kwa ajili ya mchezo wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Majambazi waiba mamilioni Mwanza
WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi usiku wa kuamkia jana wamevamia kituo cha mafuta Smat Usagara, kilichopo wilayani Misungwi na kuiba kiasi kikubwa cha fedha. Akizungumza na Tanzania Daima, mmoja wa watumishi...
10 years ago
Mtanzania13 Sep
Majambazi waiba Sh sifuri UDSM
![Chuo Kikuu cha Dar es Salaam](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/University-of-Dar-es-Salaam.jpg)
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Na Agatha Charles, Dar es Salaam
MAJAMBAZI wawili jana wamesababisha hofu katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kufyatua risasi ovyo baada ya kumwibia kijana aliyekuwa akitoka Benki ya NBC bahasha isiyokuwa na fedha.
Taarifa ambazo gazeti hili limezipata kutoka chanzo chake kinachofanya kazi eneo hilo, zinasema kijana huyo akiwa karibu na tawi la NBC majambazi hayo yalimkwapua bahasha hiyo wakidhani ina fedha na kuanza kukimbia nayo.
Chanzo hicho...
10 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
11 years ago
GPLAJALI TANDALE; WEZI WAIBA MILANGO, TAA ZA GARI NA KUWAPORA WAPITA NJIA
11 years ago
Habarileo09 Jan
Askari avunjika mguu akipambana na majangili
ASKARI wa Wanyamapori katika Pori la Akiba la Ugalla mkoani hapa, amejeruhiwa wakati yeye na wenzake wakikabiliana na majangili.
10 years ago
VijimamboKIJANA AKOTWA HUKU KANISA NYASUBI KAHAMA HUKU IKIWA HAWEZI KUONGEA VIZURI
10 years ago
Habarileo01 Sep
Wafanyabiashara waiba kwa risiti feki
UHAKIKI wa matumizi ya mashine maalumu za risiti za kielektroniki (EFDs) umebaini udanganyifu na wizi miongoni mwa wafanyabiashara wakiwemo baadhi wanaodaiwa kuwapa wateja risiti zenye kiwango pungufu na kiasi kilichotolewa.
11 years ago
BBCSwahili17 Jul
Wezi wa chuma waiba njia ya reli
10 years ago
Vijimambo19 Jun
Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa
Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.