Majambazi waiba Sh sifuri UDSM
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Na Agatha Charles, Dar es Salaam
MAJAMBAZI wawili jana wamesababisha hofu katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kufyatua risasi ovyo baada ya kumwibia kijana aliyekuwa akitoka Benki ya NBC bahasha isiyokuwa na fedha.
Taarifa ambazo gazeti hili limezipata kutoka chanzo chake kinachofanya kazi eneo hilo, zinasema kijana huyo akiwa karibu na tawi la NBC majambazi hayo yalimkwapua bahasha hiyo wakidhani ina fedha na kuanza kukimbia nayo.
Chanzo hicho...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Majambazi waiba mamilioni Mwanza
WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi usiku wa kuamkia jana wamevamia kituo cha mafuta Smat Usagara, kilichopo wilayani Misungwi na kuiba kiasi kikubwa cha fedha. Akizungumza na Tanzania Daima, mmoja wa watumishi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ve0GOSCWJaiM1s2U4gAp-D*6tTkyaL5Fom8IQreFcfefmpMDuaVRpH3OJtMeBoDZDqi8TrO*10sY1w2vGALImjs1lbO4DbL*/FRONT.jpg?width=650)
Huku akipambana Tunisia majambazi waiba gari...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/GiKkuW_ScJo/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/VcywIVArWds/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Fig9vGDUJnM/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Madiwani wahoji sifuri sekondari za kata
MADIWANI wa Halmashauri ya Ushetu, wilayani Kahama, wamehoji watoto wanaosoma na kumaliza katika shule za sekondari za kata huku wengi wao wakiambulia kupata alama sifuri na kusababisha kubaki vijijini bila...
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Sifuri zatawala kidato cha nne
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Kawambwa akerwa daraja la tano kuitwa sifuri
10 years ago
Habarileo01 Sep
Wafanyabiashara waiba kwa risiti feki
UHAKIKI wa matumizi ya mashine maalumu za risiti za kielektroniki (EFDs) umebaini udanganyifu na wizi miongoni mwa wafanyabiashara wakiwemo baadhi wanaodaiwa kuwapa wateja risiti zenye kiwango pungufu na kiasi kilichotolewa.