Wafanyabiashara waiba kwa risiti feki
UHAKIKI wa matumizi ya mashine maalumu za risiti za kielektroniki (EFDs) umebaini udanganyifu na wizi miongoni mwa wafanyabiashara wakiwemo baadhi wanaodaiwa kuwapa wateja risiti zenye kiwango pungufu na kiasi kilichotolewa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo16 Jan
Vibaka wavamia, waiba nyumbani kwa Nyerere
NYUMBA ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, inayotumiwa na mjane wake, Mama Maria na familia, wiki imevamiwa na vibaka usiku na kuvunjwa. Taarifa zilizofikia gazeti hili jana zilibainisha kuwa vibaka hao walipitia upande wa ufukweni usiku wa manane, wakavunja dirisha na kuingia.
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Wananachi wahimziwa kudai risiti
WANANCHI wametakiwa kudai risiti kila wakati wanaponunua bidhaa au kupata huduma ili kuweka uwiano mzuri wa ulipaji kodi na ushindani wa biashara. Wito huo ulitolewa jijini Dar es Salaam jana...
9 years ago
Habarileo20 Aug
Sefue: Ofisi za serikali marufuku kutoa risiti za mkono
OFISI za serikali na taasisi za Umma zimeagizwa kuacha mara moja kukusanya mapato ya serikali kwa kutumia risiti za kuandika kwa mkono, badala zitumie mfumo wa serikali mtandao.
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Ripoti: Bidhaa feki faida kwa Serikali hasara kwa wananchi
11 years ago
Michuzi10 Feb
news alert: watano wapanda kizimbani kwa mashtaka ya usambazaji wa Dawa feki za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Kortini kwa viroba feki
WAFANYABIASHARA wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, wakikabiliwa na tuhuma za kuuza katoni 216 za pombe halisi maarufu ‘Viroba’ zinazoonyesha zimetengenezwa na Kampuni ya Mega...
11 years ago
GPLMWANAJESHI FEKI ANASWA KWA UTAPELI
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Madabida kizimbani kwa ARVs ‘feki’
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, amemfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani...
11 years ago
GPLANASWA KWA UTAPELI WA MADINI FEKI