Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vibaka wavamia, waiba nyumbani kwa Nyerere

NYUMBA ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, inayotumiwa na mjane wake, Mama Maria na familia, wiki imevamiwa na vibaka usiku na kuvunjwa. Taarifa zilizofikia gazeti hili jana zilibainisha kuwa vibaka hao walipitia upande wa ufukweni usiku wa manane, wakavunja dirisha na kuingia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Ukawa wavamia nyumbani kwa Rais Kikwete

duniNa Elias Msuya, Bagamoyo

MGOMBEA Mwenza wa Chadema kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji, ametinga wilayani Bagamoyo na msafara wake ikiwa ni mwendelezo wa safari zake za kampeni.

Wakizungumza katika mkutano huo uliofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo, makada wa umoja huo, waliwataka wananchi wa Bagamoyo kumchagua mgombea urais, Edward Lowassa, ili atatue kero zao.

Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Zanzibar), Ali Said Mohamed, alisema wilaya hiyo ndiko anakotoka...

 

9 years ago

Bongo5

Majambazi wavamia na kupora nyumbani kwa rapper Big Sean

big-sean

Nyumba ya rapper Big Sean wa Marekani ilivamiwa na majambazi wakati akiwa nje ya nchi.

big-sean

Kwa mujibu wa TMZ, wezi hao walivunja nyumba yake iliyopo jijini Los Angeles na kuvunja sehemu palipokuwa pamehifadhiwa vitu vya thamani. Walipora vidani vya madini vyenye thamani ya $150,000 pamoja na nyimbo ambazo bado hazijatoka.

Sean na wenzake wanaamini kuwa wizi huo umefanywa na watu wa karibu. Wezi hao walijua kuwa rapper huyo hakuwepo na walikuwa wanaijua vyema nyumba yake. Hadi sasa hakuna...

 

10 years ago

Mwananchi

Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha

>Watu wenye silaha wamevamia kituo cha polisi cha Staki Shari jijini Dar es Salaam ambapo katika tukio hilo, watu saba wameripotiwa kuuawa, huku silaha zilizokuwepo katika kituo hicho zikiibwa.

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyabiashara waiba kwa risiti feki

UHAKIKI wa matumizi ya mashine maalumu za risiti za kielektroniki (EFDs) umebaini udanganyifu na wizi miongoni mwa wafanyabiashara wakiwemo baadhi wanaodaiwa kuwapa wateja risiti zenye kiwango pungufu na kiasi kilichotolewa.

 

11 years ago

Michuzi

WAKE WA VIONGOZI WAMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE NYUMBANI KWAKE MSASANI

Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda (kulia) ambaye ni mlezi wa kikundi cha Wake waViongozi (NEW MELLENIUMWOMEN GROUP) akimsikiliza kwa makini Mama Maria Nyerere wakati walipo mtembelea nyumbani kwake kwa ajili yakumjulia hali pamoja na kumpatia zawadi mbalimbali kutokana na mchango wake mkubwa aliokuwa anampa Baba wa Taifa ambao ulisaidia kuleta amani utulivu na maendeleo ndani ya nchi na nje ya Tanzania.Mama Maria Nyerere na MamaTunu Pinda wakiangali picha zao walizo pigwa na Mama Othmani ...

 

10 years ago

GPL

VIBAKA WANUSURIKA KUUAWA KWA KIPIGO JIJINI MWANZA LEO

Vijana hao baada ya kula kichapo kutoka kwa wananchi. Wananchi wa eneo la Deluxe baada ya kuwapa kichapo cha kutosha vibaka hao.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanachama Yanga wavamia kwa Mosha

BAADA ya mabingwa wa soka Tanzania Bara, Azam FC kupeleka kilio Jangwani kwa kuwanasa wachezaji wawili wa Yanga, wanachama wa klabu hiyo wamevamia nyumbani kwa aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti, Davis...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5

>Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani