Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa wavamia nyumbani kwa Rais Kikwete

duniNa Elias Msuya, Bagamoyo

MGOMBEA Mwenza wa Chadema kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji, ametinga wilayani Bagamoyo na msafara wake ikiwa ni mwendelezo wa safari zake za kampeni.

Wakizungumza katika mkutano huo uliofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo, makada wa umoja huo, waliwataka wananchi wa Bagamoyo kumchagua mgombea urais, Edward Lowassa, ili atatue kero zao.

Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Zanzibar), Ali Said Mohamed, alisema wilaya hiyo ndiko anakotoka...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Vibaka wavamia, waiba nyumbani kwa Nyerere

NYUMBA ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, inayotumiwa na mjane wake, Mama Maria na familia, wiki imevamiwa na vibaka usiku na kuvunjwa. Taarifa zilizofikia gazeti hili jana zilibainisha kuwa vibaka hao walipitia upande wa ufukweni usiku wa manane, wakavunja dirisha na kuingia.

 

9 years ago

Bongo5

Majambazi wavamia na kupora nyumbani kwa rapper Big Sean

big-sean

Nyumba ya rapper Big Sean wa Marekani ilivamiwa na majambazi wakati akiwa nje ya nchi.

big-sean

Kwa mujibu wa TMZ, wezi hao walivunja nyumba yake iliyopo jijini Los Angeles na kuvunja sehemu palipokuwa pamehifadhiwa vitu vya thamani. Walipora vidani vya madini vyenye thamani ya $150,000 pamoja na nyimbo ambazo bado hazijatoka.

Sean na wenzake wanaamini kuwa wizi huo umefanywa na watu wa karibu. Wezi hao walijua kuwa rapper huyo hakuwepo na walikuwa wanaijua vyema nyumba yake. Hadi sasa hakuna...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atoa pole nyumbani kwa marehemu Jaji Mstaafu Lewis Makame

jm1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es salaam aliyefariki  katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Agosti, 2014.

jm2

Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA MJINI DUBAI WAKIWA NJIANI KUREJEA NYUMBANI

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria Mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi wa Afrika ulioandaliwa na Rais Barack Obama. Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC,...

 

10 years ago

Vijimambo

TWEET YA RAIS KIKWETE BAADA YA KUSIKIA LOWASA KAJISALIMISHA KWA UKAWA JITIRIRISHE CHINI


While everyone is talking about Hon. Edward Lowassa and UKAWA right now, the is one of the more recent tweets from the President of Tanzania Hon. Dr. Jakaya Kiwete. I’m just wondering if it has anything to do with the Lowassa-UKAWA issue.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA RASMI YA ALGERIA, AREJEA NYUMBANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanda ndege katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Houari Boumediene jijini Algiers Jumatatu May 11, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga wenyeji wake katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Houari Boumediene jijini Algiers Jumatatu May 11, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na Marubani na Wafanyakazi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani