Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAJESHI FEKI ANASWA KWA UTAPELI

STORI: Nyemo Chilongani na Andrew Carlos
KIJANA mmoja aliyejulikana kwa jina la Mohammed Musa Yusufu maarufu kama Mwarami, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na sare pamoja na kutapeli watu kwa kuuza fomu feki za kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Mohammed Musa Yusufu anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na sare feki za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). “Mdogo wetu Omari alikuja nyumbani na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ANASWA KWA UTAPELI WA MADINI FEKI

Stori: Deogratius Mongela
MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Samson Ntemi (44) mkazi wa Msingwi, Wilaya ya Magu mkoani Mwanza amenaswa na Polisi wakati akifanya jaribio la utapeli wa madini feki huko Kijitonyama jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kijana aliyefahamika kwa jina la Samson Ntemi aliyetuhumiwa kwa utapeli wa madini bandia Kwa mujibu wa chanzo makini, mtu huyo alianza harakati za utapeli wake kwa kumpigia simu...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE ANASWA KWA SOO LA UTAPELI

Stori:  Hamida Hassan na Imelda Mtema Mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Mwanaheri anadaiwa kunaswa kwa msala wa utapeli na kupewa kashikashi la aina yake baada ya ‘kutaitiwa’ na wanawake wenzake ambao ni wajasiriamali akisemekana kukomba mali zenye gharama za Sh. milioni mbili. Mtuhumiwa (Mwanaheri) aliyenaswa kwa msala wa utapeli akiwa chini ya ulinzi wa Polisi eneo la Mlimani City jijini Dar. Tukio hilo...

 

9 years ago

Michuzi

MWANAJESHI FEKI ABAMBWA KIGOMA

Mwanajeshi feki wa jeshi la wananchi(JWTZ)amekamatwa leo Mkoani Kigoma akiwa amevaa sare za jeshi hilo.
Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya tukio hilo kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma Fednandi Mtui alisema kuwa mwanajeshi huyo feki alikamatwa jana eneo la kazuramimba katika Wilaya ya uvinza.
Mtui alisema kuwa mwanajeshi huyo alitambulika kwa jina la James Charles miaka 27 mkazi wa kijiji cha Nyamori alikamatwa baada ya kuwepo kwa taarifa kutoka kwa raia wema juu ya utapeli...

 

11 years ago

GPL

MWANAJESHI FEKI ATIWA MBARONI TANGA AKITAKA KUMTAPELI DC

'Koplo feki' akihojiwa wa Luteni Yahya Wangwe na Mteule daraja la pili Albano Semfuko. 'Koplo feki' wa JWTZ akiwa ofisini kwa Mkuu wa Wilaya.
'Koplo feki' akijiandaa kupanda…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Daktari feki anaswa MOI

MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Dismas Macha, amekamatwa akiwa na nyaraka mbalimbali za Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), baada kubainika ni daktari ‘feki’ katika Kitengo cha Mifupa (MOI), jijini...

 

10 years ago

Mwananchi

Daktari feki anaswa Hospitali ya Muhimbili

 Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa ni daktari feki amekamatwa katika Hospitali ya Muhimbili, kitengo cha Moi akiwa na vifaa mbalimbali vya kitabibu, ikiwamo majina ya dawa zinazotumika wakati na baada ya kutoa mimba.

 

11 years ago

GPL

TRAFIKI MWINGINE FEKI ANASWA DAR!

Stori: Makongoro Oging’ KWA mara nyingine tena makachero wa polisi wamefanikiwa kumnasa trafiki feki ambaye anadaiwa kutikisa Jiji la Dar es Salaam kwa ukamataji wa magari na kuwatoa fedha madereva, Uwazi lina mchapo kamili. Trafiki feki aliyenaswa na Polisi anadaiwa kutikisa Jiji la Dar es Salaam anzo chetu ndani ya jeshi la polisi, kinaeleza kwamba trafiki huyo feki anayejulikana kwa jina la Robinson Seif (30)...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mshirika wa Waziri Muhongo anaswa na ripoti feki ya CAG

JESHI la Polisi mkoani hapa, linamshikilia mtu mmoja kwa madai ya kukutwa na ripoti  ya kughushi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG). Ripoti hiyo ambayo ni matokeo...

 

11 years ago

Michuzi

ASKARI FEKI MWINGINE WA USALAMA BARABARANI ANASWA DAR

 Askari feki wa Usalama Barabarani ambae Jina lake halikufahamika haraka akiwa chini ya Ulinzi mkali wa Askari Polisi (hayupo pichani) mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya ni askari wa usalama barabarani huku akifahamu kuwa ni kosa kisheria. Inasemekana Mtuhumiwa aliwahi kuwa askari wa Usalama barabarani ambapo kituo chake cha Kazi kilikuwa Mkoa wa Pwani na ni mmoja kati ya askari waliofukuzwa kazi kwa kuenda kinyume na taratibu na sheria za Jeshi la Polisi Tanzania
 Askari Polisi ambae jina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani