MWANAMKE ANASWA KWA SOO LA UTAPELI
Stori: Hamida Hassan na Imelda Mtema Mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Mwanaheri anadaiwa kunaswa kwa msala wa utapeli na kupewa kashikashi la aina yake baada ya ‘kutaitiwa’ na wanawake wenzake ambao ni wajasiriamali akisemekana kukomba mali zenye gharama za Sh. milioni mbili. Mtuhumiwa (Mwanaheri) aliyenaswa kwa msala wa utapeli akiwa chini ya ulinzi wa Polisi eneo la Mlimani City jijini Dar. Tukio hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLANASWA KWA UTAPELI WA MADINI FEKI
11 years ago
GPLMWANAJESHI FEKI ANASWA KWA UTAPELI
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Mwanamke anaswa na ngozi za chui
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Mwajuma Hamisi, mkazi wa Yombo Vituka kwa kosa la kukutwa na ngozi mbili za chui kinyume cha sheria, zenye thamani...
11 years ago
Habarileo19 Apr
Polisi mwanamke aiba mtoto, anaswa
OFISA wa Jeshi la Polisi nchini, anashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mbeya akituhumiwa kuiba mtoto mchanga mwenye umri wa siku saba.
11 years ago
GPLMWANAMKE ANASWA AKITAKA KUMTOROSHA BINTI
10 years ago
GPLHILI SOO LA IPTL LIMEKAA VIBAYA
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Amanda atumika kwa utapeli
Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’.
Mwandishi wetu
Kaa chonjo! Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya jina lake kutumika kwa utapeli kwenye mitandao ya kijamii.
Amanda ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, kuna Amanda feki anayetumia jina lake kutapeli watu ambapo tayari amepokea malalamiko mengi huku jamaa mmoja akichukuliwa fedha kilaini (hakutaja kiasi) kupitia Facebook, akiamini ni staa huyo hivyo kuwataka watu kuwa makini kwani yeye hana...
10 years ago
GPLROSE MUHANDO KWA UTAPELI TOO MUCH!
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Mbaroni kwa utapeli misikitini
KIJANA, John Charles, anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Sitakishari, Dar es Salaam kwa tuhuma za utapeli kupitia misikiti. Tanzania Daima ilishuhudia kijana huyo akikamatwa na kufikishwa kwa Mwenyekiti wa Mtaa...